Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Ndugu Yangu ni vema ukaka kimya kama huna la kuzungumza....Hoja za kijinga kama hizo hapa sio mahala pakehili gari limenunuliwa kwa ruzuku ya ufipa, hii SACCOS ni balaa
Ndugu Yangu ni vema ukaka kimya kama huna la kuzungumza....Hoja za kijinga kama hizo hapa sio mahala pakehili gari limenunuliwa kwa ruzuku ya ufipa, hii SACCOS ni balaa
Ni kwamba Mbowe hajapoteza sifa za kugombea ubunge kwasababu hajatumikia kifungo. Soma tena hapo juu,ni mpaka utumikie kifungo kisichopungua miezi 6 ndiyo utapoteza hiyo sifa.
Baada ya mahakama ya Hai kumuhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe kifungo cha mwaka mmoja au kulipa milioni moja baada ya kumshambulia msimamizi wa kituo cha uchaguzi kwenye jimbo la hai, sasa inaonekana uamuzi huo wa mahakama umemnyima usingizi kwani utamnyima fursa ya kuchaguliwa kuwa ama mbunge au rais. Hivyo amekata rufaa mahakama kuu kupinga uamuzi huo.
Mzee sio suala la kufukiria hii taaluma na mimi si mwanasheria. Wanasheria wamekwisha tolea maelezo tena ya kuridhisha sioni sababu ya wewe kutoa lugha kali kiasi hiki.Hivi mbona mu wavivu wa kufikiria?Katiba inazungumzia hukumu ya kifungo,Mbowe ametoa faini.
Ni baada ya kutiwa hatiani na kupewa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja au faini mahakamani jana.
hili gari limenunuliwa kwa ruzuku ya ufipa, hii SACCOS ni balaa
Kama ndivyo eleza makosa hapo ni nini?
BACK TANGANYIKA
Mkuu;
Kwa kukusaidia zaidi, Katiba imeenda mbele zaidi kwenye kifungu cha 67(7)(b) na kusema,
ikiwa mtu atapewa adhabu ya kufungwa gerezani ikifahamika kuwa adhabu hiyo ya kifungo imetolewa badala ya adhabu ya kutozwa faini au imetolewa kwa sababu mtu huyo ameshindwa kulipa faini aliyoamriwa kulipa, basi muda wa kifungo cha namna hiyo hautahesabiwa.
Nadhani kwa sasa umeelewa!
Nina wasiwasi na mkuu wa NEC wa sasa maana viwango vya 'kutumiwa' vinatofautiana!Anaendelea..Suala hilo linafanana na lililotokea katika mchakato wa uteuzi wa wagombea urais mwaka 2005 wakati aliyekuwa mgombea urais wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila na mgombea mwenza wake, Saidi Soud Said walipowekewa pingamizi kutokana na kutumikia kifungo jela, Mtikila akitumikia mwaka mmoja kwa kosa la uchochezi, Said akitumikia chuo cha mafunzo kwa kosa la biashara ya vitambaa. Hata hivyo, pingamizi hilo lilitupwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame (marehemu) baada ya kusikiliza utetezi wa Mtikila na Said, kuwa makosa waliyofungwa kwayo hayakuwa ya kukwepa kodi, kukosa uaminifu wala kukiuka maadili ya viongozi wa umma.
Mbona mbunge wenu Rage alitumikia kifungo jera zaidi ya hiyo miezi?
Rage alitoka jela kwa msamaha wa Rais kutokana na afya yake kutokuwa nzuri.
Mbowe amekuwa akifanya jinai nyingi sana yafaa sasa afungwe jela kabisa siyo kutozwa faini.
amekutwa na hatia awajibike tu.
Nafahamu CHADEMA ina mwanasheria wake ambaye hutoa matamko pindi kunapokuwa na masuala hayo ya kisheria. Nakumbuka katika ile kesi ya Zitto alijitokeza mapema na kusema kwa hukumu ile Zitto kajivua uanachama. Na kwa hili basi Tundu Lissu atoe tamko manake linamhusu Mwenyekiti wa ChamaKamanda mbowe hana litakalomzuia kugombea kwa sababu (i) Hajafanya kosa lolote linaloambatana na kukosa uaminifu (ii) kukwepa kodi (iii) kuvunja maadili ya uongozi wa umma.
Hata mtikila aligombea uraisi 2005 japo alikuwa ametoka kufungwa miezi 6 jela, na wagombea wenzake walipomuwekea pingamizi, jaji Makame alitengua pingamizi kwa sababu havikuangukia kwenye makundi hayo.
Sasa kama CCM walikuwa wanaivuta kesi miaka mitano toka 2010 ili waje wamuwekee pingamizi wamechemsha.