TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Acha kudanganya wasiofuatilia sakata hili, alishtakiwa kwa kumshambulia MWANAGALIZI WA NDANI wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, 2010, NASSIR YAMIN katika kituo cha kupigia kura kilichokuwa katika Zahanati ya Lambo. YAMIN alikuwa ni mwangalizi wa kutoka Baraza Kuu la Waslamu wa Tanzania (BAKWATA). Huo ndiyo ukweli na siyo ujinga wako unaotaka kutuaminisha.alimshambulia wakala wa CCM baada ya kuiba kura uchaguzi uliopita.ila sio lazima awe mbunge