Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mkuu;Mkuu ungeendelea tu kututafsiria......lugha ya sheria nayo ni tabu
Kwa kukusaidia zaidi, Katiba imeenda mbele zaidi kwenye kifungu cha 67(7)(b) na kusema,
''ikiwa mtu atapewa adhabu ya kufungwa gerezani ikifahamika kuwa adhabu hiyo ya kifungo imetolewa badala ya adhabu ya kutozwa faini au imetolewa kwa sababu mtu huyo ameshindwa kulipa faini aliyoamriwa kulipa, basi muda wa kifungo cha namna hiyo hautahesabiwa''.
Nadhani kwa sasa umeelewa!