Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Nina wasiwasi na mkuu wa NEC wa sasa maana viwango vya 'kutumiwa' vinatofautiana!
Huyu tunamjua hana tofauti na Mkude Simba............
Nina wasiwasi na mkuu wa NEC wa sasa maana viwango vya 'kutumiwa' vinatofautiana!
Huu utitiri wa vyuo vinavyotoa wanasheria ni hasara, maamuzi ya mwenyekiti wa NEC unayaita kuwa case law? Case law inatokana na hukumu ya kimahakama siyo utashi wa jaji nje ya huduma ya mahakama..! waweza kunikosoa.