without zzk chadema is over.
Chadema wapo JF tu, mitaani huko patupu.
Kabla ya kuleta propaganda zenu elezeni kwanza mafanikio ya chama chenu cha ACT mulicho kiita kuwa ni mbadala wa CHADEMA.
Siku zote CHADEMA ni watu wa kupuuza taratibu na sheria katika maeneo mengi sana, huo ndiyo mshahara wa dharau zao
Tatizo lenu vijana wa BAVICHA, kila kitu ni USALITI, USALITI, USALITI.
Mnatembea mmebeba ndani ya mifuko yenu stamp iliyoandika usaliti.
Usaliti unatoka wapi hapo?.
The bottom line, CHADEMA haina wagombea makini kwa sababu inaokota wagombea barabarani ambao wengine hata hawajawahi kuiona Katiba ya CHADEMA achilia mbali Ilani yake ya uchaguzi ambayo imejaa ulaghai.
Chama cha hovyo hovyo kinazaa wagombea wa hovyo hovyo.
Ulitaka wagombea makini watoke wapi wakati wanachama wanajaa kwenye kiganja cha mkono!.
chadema baada ya kupoteza umaarufu na kujificha nyuma ya ukawa sasa imepata pigo wagombea wake wengi serikali za mitaa hawana sifa na wengi wamewekewa pingamizi . Mitaa mingi ccm imepita bila kupingwa.
Huwezi kuwa na chama ambacho kwenye mitaa na vijiji hakipo.believe me 2015 litakua pigo na aibu kubwa ya karne kwa kupoteza wabunge wengi.
ACT Wamefanikiwa kumtimua tena Mwigamba na Mkumbo...Kabla ya kuleta propaganda zenu elezeni kwanza mafanikio ya chama chenu cha ACT mulicho kiita kuwa ni mbadala wa CHADEMA.
Kweli kabisa Mkuu, Na kingine nilichokishuhudia hapa Arusha, hata wale wagombea waliojaribu kugombea kupitia CHADEMA kipindi kilichopita, sasa wamejiunga na CCM na kugombea kupitia CCM, hivyo kuendelea kukuza ombwe la watu makini ndani ya CHADEMA.
mtu yeyote anayeishabikia ccm huku anajua ujuha wa ccm,huyu lazima tuwe na waswas na iq yake.yaan mtu anafurahia ujinga unaofanywa na serikali hii kwann? au mmenunuliwa? mungu wakomboe watanzania na utumwa wa kifikra
Mimi naona tunapoteza pesa kufanya uchaguzi, haya mambo bora yaanze baada ya miaka 30 mbele,labda tukifika huko ndio vyama vya kweli vitapatikana