Mbowe amesalitiwa, wapo wa kuwajibishwa

Mirembe ndiko wanakostahili vichaa sijui hawa wa huku nje wametoka wapi
 
Mimi naona tunapoteza pesa kufanya uchaguzi, haya mambo bora yaanze baada ya miaka 30 mbele,labda tukifika huko ndio vyama vya kweli vitapatikana
 
Kwa mtu mwenye akili timam ameshajua ni kwa nini CCM wamegeuka na kuwa chama cha kushinda kwa kutegemea pingamizi badala ya kutegemea kushinda kwa kura kama ilivyo kuwa hapo awali.

Hata hivyo tarehe 14 siyo mbali tuwe na subira tuangalie nani atakaye toa na ninani atakaye ongeza.
 
Nonsense, kwani wabunge woooooote wa chadema siwalichaguliwa wakati serikali za mitaa zikiwa kwa wapinzani wao kwa sehemu kubwa?
 
kafulila na zito wamepiga kazi nzito escrow sasa chagadema wanagonga juice ujeruman wakidai wameibua wao what a shame!!!!!!!
 
Ccm kwa mizengo pinda wanazomewa leo hii unasema nini! CCM mnawazimu. Muulize JK kwa nini ana kigugumizi kuhusu ESCROW? Ndio ujue kuwa CCM hii kashfa lazima iwaondoe madarakani
 
Tatizo lenu vijana wa BAVICHA, kila kitu ni USALITI, USALITI, USALITI.

Mnatembea mmebeba ndani ya mifuko yenu stamp iliyoandika usaliti.

Usaliti unatoka wapi hapo?.

The bottom line, CHADEMA haina wagombea makini kwa sababu inaokota wagombea barabarani ambao wengine hata hawajawahi kuiona Katiba ya CHADEMA achilia mbali Ilani yake ya uchaguzi ambayo imejaa ulaghai.

Chama cha hovyo hovyo kinazaa wagombea wa hovyo hovyo.

Ulitaka wagombea makini watoke wapi wakati wanachama wanajaa kwenye kiganja cha mkono!.

Wezi wakubwa wa fedha za escrow
 
chadema baada ya kupoteza umaarufu na kujificha nyuma ya ukawa sasa imepata pigo wagombea wake wengi serikali za mitaa hawana sifa na wengi wamewekewa pingamizi . Mitaa mingi ccm imepita bila kupingwa.

Huwezi kuwa na chama ambacho kwenye mitaa na vijiji hakipo.believe me 2015 litakua pigo na aibu kubwa ya karne kwa kupoteza wabunge wengi.

ndugu mbona umetoa thread kwa kukurupuka, au kuna mtu anakuelekeza cha kupost?? Maana ni wazi umendika kishabiki bila uthibitisho, so i hope we should take this as a joke from lumumba where nape and his team were entertain them selves, then you decided to bring such rubbish to jf, dear ndugu jf is not a dust bin for such kind of rubbish,

by the way wait for election hope you wont come back with such thread, stay tune
 
Kweli kabisa Mkuu, Na kingine nilichokishuhudia hapa Arusha, hata wale wagombea waliojaribu kugombea kupitia CHADEMA kipindi kilichopita, sasa wamejiunga na CCM na kugombea kupitia CCM, hivyo kuendelea kukuza ombwe la watu makini ndani ya CHADEMA.

Subiri Matokeo ndipo utakapojua kuwa Arusha hakuna ccm
 
mtu yeyote anayeishabikia ccm huku anajua ujuha wa ccm,huyu lazima tuwe na waswas na iq yake.yaan mtu anafurahia ujinga unaofanywa na serikali hii kwann? au mmenunuliwa? mungu wakomboe watanzania na utumwa wa kifikra

Watu wanahofia Amani endapo Chadema kitachukuwa madalaka.
 
Mimi naona tunapoteza pesa kufanya uchaguzi, haya mambo bora yaanze baada ya miaka 30 mbele,labda tukifika huko ndio vyama vya kweli vitapatikana

Naungana nawe kwa sasa tufanye mengine jeshi lichukue nchi kwanza tuheshimiane
 
Back
Top Bottom