Mbowe amesalitiwa, wapo wa kuwajibishwa

CHADEMA baada ya kupoteza umaarufu na kujificha nyuma ya ukawa sasa imepata pigo wagombea wake wengi serikali za mitaa hawana sifa na wengi wamewekewa pingamizi . mitaa mingi ccm imepita bila kupingwa.

Huwezi kuwa na chama ambacho kwenye mitaa na vijiji hakipo.believe me 2015 litakua pigo na aibu kubwa ya karne kwa kupoteza wabunge wengi.
 
chadema baada ya kupoteza umaarufu na kujificha nyuma ya ukawa sasa imepata pigo wagombea wake wengi serikali za mitaa hawana sifa na wengi wamewekewa pingamizi . mitaa mingi ccm imepita bila kupingwa.
huwezi kuwa na chama ambacho kwenye mitaa na vijiji hakipo.
believe me 2015 litakua pigo na aibu kubwa ya karne kwa kupoteza wabunge wengi.

vipi leo ume kuny.a?
 
CHADEMA baada ya kupoteza umaarufu na kujificha nyuma ya ukawa sasa imepata pigo wagombea wake wengi serikali za mitaa hawana sifa na wengi wamewekewa pingamizi . mitaa mingi ccm imepita bila kupingwa.

Huwezi kuwa na chama ambacho kwenye mitaa na vijiji hakipo.believe me 2015 litakua pigo na aibu kubwa ya karne kwa kupoteza wabunge wengi.

Kabla ya kuleta propaganda zenu elezeni kwanza mafanikio ya chama chenu cha ACT mulicho kiita kuwa ni mbadala wa CHADEMA.
 
Chaguzi Ilizopita mtu awaCCMakipita bila kupingwa tulikuwa tunaambiwa Zitto kauza nafasi sasaa safari hii nani kauza hizo kata?
 
mtu yeyote anayeishabikia ccm huku anajua ujuha wa ccm,huyu lazima tuwe na waswas na iq yake.yaan mtu anafurahia ujinga unaofanywa na serikali hii kwann? au mmenunuliwa? mungu wakomboe watanzania na utumwa wa kifikra
 
Back
Top Bottom