MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,105
- 35,516
Hakuna jazba ndio hali ilivyoPunguza jazba.
Hakuna jazba ndio hali ilivyoPunguza jazba.
Wacha kuwa na akili mgando kijana! kama huelewi unafuata mkumbo tulia, maendeleo ya taifa hayaletwi na umaarifu wa mtu fulani, Huyo ni ZUZU TU, hana la maendeleo wala nini nshu yake kuitumia siasa kujinufaisha, maendeleo ya nchi yanaletwa na wewe na mimi nijinsi gani tunafanya kazielimu yako ipo kwenye vyeti (kukariri), mbowe elimu yake ipo kichwani na ameweza kuitumia kwa maendeleo ya taifa lake.. sasa jiulize hayo makaratasa bila taaluma kichwani yanakusaidia vipi katika haya maisha?
Wacha kuwa na akili mgando kijana! kama huelewi unafuata mkumbo tulia, maendeleo ya taifa hayaletwi na umaarifu wa mtu fulani, Huyo ni ZUZU TU, hana la maendeleo wala nini nshu yake kuitumia siasa kujinufaisha, maendeleo ya nchi yanaletwa na wewe na mimi nijinsi gani tunafanya kazi