Mbowe alivyomtoa Dkt. Slaa kwenye Ubunge ili agombee Urais, baadaye akamtosa na kumleta Lowassa. Mbowe ni CCM?

Halafu tofautisha dola na nchi. Nchi haiwezi kuua mtu Kama unavyofikiri. Halafu kwanini uuwe mtu wakati mahakama zipo?

Kwa hivyo majawmbazi wanaoua watu na kuwavamia usiku ni watakatifu Sana kuliko wanasiasa wa upinzani?
Asante kwa masihihisho ila tupo tayari kukuondoa wewe ili kuwanusuru na wenye mamlaka na wasio na mamlaka.

👂👂

🚶🚶🚶
 
Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu

2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea ubunge

2015 baada ya Dkt. Slaa kufanya kazi kubwa kiasi cha kukubalika na wananchi kwa 85% Mbowe akaenda CCM kumkodisha Lowassa na kumtupa nje Dr Slaa

Wakati wa kampeni mzee Lowassa anaongea ndani ya Kanisa kwamba 2015 ni zamu ya.dhehebu fulan lakini ulipofika uchaguzi akapigwa chini ma Mseminari shujaa Maguful

Je, Mbowe ni CCM kama anavyotuhumiwa Mbatia?
kamuulize selasini maana alikuwa chadema na yuko nccr
 
Propaganda zenu tulishazichoka. Kila mtu Tanzania ni kitengo hakuna mtu asiye kitengo. Kawadanganye wengine.

Leo mnamwita kitengo lakini Jana kwenye kesi yake mlimwita gaidi.
😀😀😀😆

ZITTO SIO KITENGO tumewachoka na ngonjera zao.
 
Dau la Lowassa lilikuwa kubwa kiasi kwamba Mbowe asingeweza kulikataa.
Ndio maana kwa jeuri ya dau lake Lowassa alikataa kuvaa magwanda ya Chadema wakati wote aliokuwa nao!

Swali langu hujajibu. Alitoa dau la shilingi ngapi?
 
Asante kwa masihihisho ila tupo tayari kukuondoa wewe ili kuwanusuru na wenye mamlaka na wasio na mamlaka.

👂👂

🚶🚶🚶

Huwezi kuniondoa hata siku Moja. Anayeweza kuniondoa ni Mungu tu sio mwanadamu anayeugua tumbo na kuharisha Kama wewe.
 
😀😀😀😆

ZITTO SIO KITENGO tumewachoka na ngonjera zao.

Yani hizi ngonjera zenu zinaishushia hadhi TISS. Mara gwajima kitengo, Mara makonda kitengo, Mara Mdee kitengo, Mara gwajima kitengo, Mara sheikh Alhad Salum kitengo, Mara Mbatia kitengo, Mara Zitto kitengo etc.
 
Bwashee yaelekea wewe sio bingwa wala mjuzi wa mbinu za medani ya siasa au umesahau Lowassa alitupatia wabunge, madiwani, wenyeviti wangapi?
That's strategic planning young man which unfortunately is not your forte
 
Mbowe ni mzee wa kitengo kama ilivyo kwa wenyeviti wenzake wa upinzani waliomtangulia. Ni jamii ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba, Mbatia nk. Isipokuwa Mbowe kawazidi ujanja waliomtangulia, kwani yeye amefanikiwa kujiongeza kwa kutumia fedha za chama kama vile ruzuku kuunda kundi la chawa mitandaoni ili limpiganie kuficha ushiriki wake katika kitengo hicho.
Inawezekana.maana alikuwa mlinzi pale.Benki kuu
 
Swali lako ni la kichokozi tu?.

1. Wakati Mbowe anatumiwa Sahbaya akamshughulikie Hai, mpaka kuunda kundi la kuzomea mikutano ya Mbowe, mbona hukuuliza Kama ni CCM.?.

2. Wakati Mbowe amevamiwa na Byakanwa Mkuu wa Wilaya kabla ya Sabaya, na kuharibu shamba lake mbona hukuuliza Kama ni CCM?. Na kitendo Cha Byakanwa kuharibu shamba la Mbowe kikapelekea kupewa ukuu wa Mkoa Mtwara.

3. Wakati Mbowe anabomolewa Bilcanas yake na serikali mbona hukuuliza Kama ni CCM ?.

4. Wakati Mbowe anafukuzwa kwenye Jengo la NHC mbona hukuuliza Kama sio mwana CCM.?

5. Wakati Mbowe anafunguliwa kesi ya ugaidi na Rais kuongea hadharani kuwa alikimbia nchi kwa kuogopa kukamatwa. Na Wana CCM wote kugeuka na kuanza kumwita gaidi, kipindi hicho hakuwa Mwana CCM.?

Tuache maswali yasiyokuwa na mantiki baadala ya kuangalia uhalisia. Mbowe angekuwa CCM leo usingeuliza hilo swali lako maana ingekuwa wazi kabisa lakini kwa sababu sio CCM umeamua kuuliza hili swali.
HUMJUI MBOWE WEWE YULE KWENYE HELA HAFAI
 
Bwashee yaelekea wewe sio bingwa wala mjuzi wa mbinu za medani ya siasa au umesahau Lowassa alitupatia wabunge, madiwani, wenyeviti wangapi?
That's strategic planning young man which unfortunately is not your forte
Lowassa aliondoka na wabunge wake akina Ole milya, Dr Mollel nk
 
Propaganda zenu tulishazichoka. Kila mtu Tanzania ni kitengo hakuna mtu asiye kitengo. Kawadanganye wengine.

Leo mnamwita kitengo lakini Jana kwenye kesi yake mlimwita gaidi.
Sishangai ww kubisha nilichoandika, kwa vile najua na ww ni mmoja wa wale waliowekwa humu kuzuia watu kujua ukweli kuhusu uhusika wake kwenye kitengo. Wapinzani wa kweli walikuwa mch Mtikila na Kighoma Malima.
 
Hawa watoto hawajui kwamba Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa na CCM yenyewe
 
Yani hizi ngonjera zenu zinaishushia hadhi TISS. Mara gwajima kitengo, Mara makonda kitengo, Mara Mdee kitengo, Mara gwajima kitengo, Mara sheikh Alhad Salum kitengo, Mara Mbatia kitengo, Mara Zitto kitengo etc.
Aisee pole sana kwa utafiti 😂
 
Tanzania kila mtu ni kitengo, sio Mbowe tu.
Tatizo lako ukisikia kitengo unahisi sijui ni TISS tu, hao wanakuwa assigned tu kutimiza misheni fulani

Ni uwendawazimu kudhani CCM itaendelea kutawala bila kupandikiza upinzani watu wake, au basi kuwanunua wenye ushawishi ili kuuhadaa umma.
 
Back
Top Bottom