Mbowe alivyomtoa Dkt. Slaa kwenye Ubunge ili agombee Urais, baadaye akamtosa na kumleta Lowassa. Mbowe ni CCM?

Yani hizi ngonjera zenu zinaishushia hadhi TISS. Mara gwajima kitengo, Mara makonda kitengo, Mara Mdee kitengo, Mara gwajima kitengo, Mara sheikh Alhad Salum kitengo, Mara Mbatia kitengo, Mara Zitto kitengo etc.
Inashangaza nini hii?

Hao wote ni wanufaika na kazi yao ni kukuhadaa wewe na jumuiya za kimataifa zilizoleta masharti ya misaada kwa kulazimisha vyama vingi…. haishindikani kugawana majukumu ili kula keki ya Taifa.
 
Hawa watoto hawajui kwamba Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa na CCM yenyewe
Yan ni kweli mkuu. Wengi wamezaliwa miaka ya 95, sasa unakuta ilipofika 2010 mtu ana miaka 15 na kukuta upinzani mkuu ni Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe, kisha kuanza kumezeshwa propaganda haraha haraka kuwa Mbowe na genge lake ndio wakombozi wao kwa Tanzania hii. Kutokana na umri wao wa kutoweza kufikiria nje ya box, matokeo yake ndo tunaona vijana hawa wakitumiwa humu mitandaoni kama daraja la mafanikio ya wanasiasa hao uchwara wa Tanzania.
 
Propaganda zenu tulishazichoka. Kila mtu Tanzania ni kitengo hakuna mtu asiye kitengo. Kawadanganye wengine.

Leo mnamwita kitengo lakini Jana kwenye kesi yake mlimwita gaidi.
Mpandisha uzi ni mzushi fulani hivi
 
Back
Top Bottom