WanaJF,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.
Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:
"Kushirikiana na Zitto sio jambo la ajabu kama ambavyo umeona tukifanya. Yapo majeraha mengi ambayo kama chama tumesababisha kwa Zitto, ambayo hatuwezi kuyatibu kwa siku moja. Ila naamini yatatibika kadri ya muda. Unaweza ukamfanyia mtu kitu kibaya halafu baadae ukatambua kuwa umekosea. Chochote katika siasa kinawezekana" by Mbowe.
Source: Mwananchi
My take,
Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.
Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
Kuhusu Dr Slaa...naamini yeye ndiye aliyeisababishia chadema majerahaWanaJF,

Hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa...Na yes Kwanini tusitegemee kauli za Mh Mbowe wakati yeye ndiye mwenyekiti wa chama?Kwa hiyo uadui wenu na Zitto unaisha mara tu baada ya yeye kupatana na Mbowe? Kwanini msiwe na mawazo independent, ya kuamua kama Zitto ni adui au rafiki, bila kutegemea kauli za Mbowe?
Imewastuaje mkuu...wana ccm ndio wataalamu wa kuweka vinyongo na mtu...nimegundua wana CDM wanakuchukia pale tu unapofanya vitendo viovu ama kukiharibia chama...Kama zitto na Freeman wakimalizana tofauti zao naamini Mh zitto ni mtu ambaye anatambua siasa ilivyo na hawezi kuweka kinyongo na watu waliomtukana kisa situation fulani..Hii taarifa imestua watu wengi kuna matusi humu vijana walitukana kila aliyekuwa anasema kuhusu hili sakata lakini kama ilivyokuwa kwa Lowasa na Slaa majibu yamepatikana hapa hapa. Wengine sijui uso wataweka wapi lakini kuna watu hawana haya kabisa wamekaza balaa.
Imewastuaje mkuu...wana ccm ndio wataalamu wa kuweka vinyongo na mtu...nimegundua wana CDM wanakuchukia pale tu unapofanya vitendo viovu ama kukiharibia chama...Kama zitto na Freeman wakimalizana tofauti zao naamini Mh zitto ni mtu ambaye anatambua siasa ilivyo na hawezi kuweka kinyongo na watu waliomtukana kisa situation fulani..
WanaJF,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.
Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:
Source: Mwananchi
My take,
Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.
Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
Haijalishi Zitto amepatana na nani either Mbowe, Kinana, Slaa au Mama yangu ila kwangu atabaki kuwa ni msaliti milele
Unapenda UMBEYA kweli.ALipomuangukia wapi??Hivi mtu akisema kwamba pande zote mbili walikoseana na hawana sababu ya kutoshirikiana ndiko kumuangukia mtu??
AKili za nzi shida kweli.Haya naona roho zinapwita tu.
Sijaona mahali popote katika nukuu ya andiko hilo likimnukuu Mbowe kwamba alimkosea zitto.
Ungekuwa umepungukiwa damu ungeongezewa lakini umekosa akili nakuhurumia!WanaJF,