Mbowe akiri kumkosea Zitto; Amuangukia!

Mbowe akiri kumkosea Zitto; Amuangukia!

Pengine watu wataanza kuelewa kwanini ni muhimu kutumia akili yako vyema badala ya kufata mkumbo wa vyama na viongozi wake ....zile nyakati za kufia chama zimepita ....tumepewa akili tusiongozwe na ushabiki ....
 
Zitto ni sawa na mbwa mbele ya chatu lazima ajipeleke kwa mbowe hana nyimbo hana pa kuegemea mbowe alimfundishisha kufunga tai na kuvaa chupi na soksi atakimbilia wapi msaliti huyo dunia ina mafunzo mazuri ndio hayo ya zito anatumia mwandishi mmoja wa kwao kumwandika gazeti la mwananchi ishajulikana hiyo
 
WanaJF,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:

Source: Mwananchi

My take,

Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.

Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
Ukiona mwanaume kama wewe wa umri mdogo unapinduliwa pinduliwa mara kufuga viatu mar akubeba watu kwenye makalio mwisho wake ndio huu unakuwa huna cha kufanya zaidi ya kuendekeza ujinga ndio maana watu wengi wana kuona kama unalaana vile
 
WanaJF,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:

Source: Mwananchi

My take,

Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.

Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
Baada ya kuona wanachi wamempotezea magufuli mbali baada ya kuona hana vision ya kukuza uchumi wao kwa haraka umeamua kupumzisha mapambio umehamia kwa huyo msaliti hana namna yakukupa mkoa lakini hata ukijikomba ni mbunge msaliti tu jina lipo palepale
 
WanaJF,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:

Source: Mwananchi

My take,

Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.

Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
Hivi wewe ni Mtanzania unawezaje kuwa na adui wa kudumu Mtanzania tena kwa ajili ya siasa?.
 
Ni mfanyabiashara wa kisiasa.

Wakaanga sumu utawajua tu, wanapenda sana magomvi ya majirani maana ndipo wanapopatia manufaa, characteristics zao hazitofautiani na za wachawi
 
BADO KIDOGO NA MHE. LOWASA ATARUDI CCM. MUWE WATULIVU HIVI HIVI.

Queen Esther

WanaJF,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CHADEMA, mhe Mbowe, amemuangukia Zitto na kueleza namna ambavyo yeye na chama chake wamemkosea Zitto wakati huo Zitto akiwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Mbowe ameyasema hayo katika mahojiano na gazeti la Mwananchi na kueleza yafuatayo:

Source: Mwananchi

My take,

Baada ya madhambi ya CHADEMA kumuangukia Lowassa, sasa wameenda kumuangukia Zitto. Kwa sasa ni suala la muda tu kusubiri CHADEMA wamuangukie Dkt Slaa.

Nyumbu, kuweni makini na Mbowe. Mbowe hana adui wa kudumu. Anatazama maslahi yamekaa vipi, anabadilika fasta. Msiumize mishipa yenu kutukana watu halafu baadae viongozi wenu mnao wasujudu wanakuja kuwaomba msamaha hao mlio watukana. Mfano mzuri ni kwa Zitto na Lowassa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
ImageUploadedByJamiiForums1454507964.484395.jpg
 
Mbowe bwana, safari hii sijui katika kumkaribisha Zitto cdm atachenjia gia wapi. Labda chini ya maji akijifanya rubani wa nyambizi. Na watamshangilia, ama kweli Mbowe ni pinochio, lazima watacheza muziki wake.
Mbowe anamuandaa Zitto kurithi kiti chake...anajua baada ya Zitto na Dr. Slaa kutimka hakuna mtu ndani ya chama anayeweza kumrithi...safi sana mzee wa gia za angani...
 
wewe una akaili kama za Lusinde, una tofauti na iddi amini kwa sababu muda wote kwako ni uadui, vita, hata nyerere aliwasamehe wakina Babu, kambona hata walitaka kumpindua, mbona kaburuu yuko kwenu, mbona JPM ameende kumtembelea Sumaye Hospitalini, pia mbona Majaliwa alikutana na kusalimiana na lowasa, siasa sio uadui hayo yote ni kwa ajili ya wananchi, HAMDY huna tofauti na yule jamaa wa kimwani aliyemtuma muuaji amuue Diwani aliyempiga chini kwa kitita cha tshs mil. 1

Mbona kabla ya mbowe ya kubadili gia angani hukuyaona haya? Mbona hukuyasema haya? Zidumu fikra za mwenyekiti mkiambiwa muwe mnahifadhi maneno yakuzungumza maana huwezi jua mwenyekiti ataamkaje.
 
Kwa hiyo uadui wenu na Zitto unaisha mara tu baada ya yeye kupatana na Mbowe? Kwanini msiwe na mawazo independent, ya kuamua kama Zitto ni adui au rafiki, bila kutegemea kauli za Mbowe?
Ndg yangu TKNL unapata shida na kushangaa wanasiasa kupatana, hawa ni watanzania tu!
 
siku zotee kwangu zitto atabaki msaliti tuu!
 
MI NIMESOMA MWANANCHI SIJAONA SEHEMU MBOWE AMTAKA RADHI ZITTO KABWE,,,DADA UMETIA CHUMVI HABARI YAKO
 
Wa kukurupuka kama kawaida yake kawahi kupost ili apate kiki ya jioni wakati issue yenyewe ya kawaida,kumbuka katika kitu mwanasiasa yeyote anasema cha ukweli ni Jina lake tu.
 
Childish game....[emoji57]
Another day..
Another drama...
Same people
 
Ndg yangu TKNL unapata shida na kushangaa wanasiasa kupatana, hawa ni watanzania tu!
Sishangai wao kupatana, not at all, ninachoshangaa ni kwa nini Mbowe akisema Zitto amefanya makosa group la watu wanaanza kuimba hivyo; akibadilisha na kusema makosa yalifanyika pande zote mbili na hilo group nalo linabadilikka, I mean, hao watu hawana ubongo wao wenyewe?
 
Hii ni demokrasia na kuachana na mambo ya magomvi na kuanza ukurasa mpya, that is it! Mimi nakushangaa wewe kuingilia uhuru wa watu!
 
Back
Top Bottom