Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

watu kama akina mbatia waliaminika kwa misimamo yao lakin kwakuwa wameruhusu fedha itawale sasa wanaonekana bure kabisa hivyo ni vyema tuwe nao makin watu wa aina hii
mimi nitachagua muadilifu na mchapakazi
 
Puzzled with the news that Dr Slaa was the first to go for lowassa and brought the idea to the CC !!

That was the spin. Lowassa has been negotiating for years but they knew they needed Slaa and used Gwajima to sell the idea to him and make it look like it's his own. Truth is Mbowe knew all along Lowassa was moving over if his bid within CCM failed.
 
Mbowe ni genius! Kinachoendelea kwenye siasa za Tanzania, kinasaidia sana kumwonyesha Mbowe katika ubora wake, siyo ukabila lakini kuna wakati Wachaga wapewe sifa wanazo stahili. Mbowe anafahamu hesabu na anachanga karata zake na kuzicheza vizuri sana!
Sijui kwa wengine lakini, kusema kweli mimi naona urafiki wa Mbowe na EL siyo wa kudumu. Baada ya October 25, litajengwa 'tofali' jipya katika ujenzi wa democrasia ya vyama vingi Tanzania bila kujali itashinda UKAWA au CCM! Muungano wa UKAWA na EL, una nia moja tu kupunguza absolute power ya CCM na kama siyo CCM kufa basi iwekwe kwenye viwango sawa na vyama vingine.
Anyway u-genius wa Mbowe upo wapi? Ni kwenye 'usajili!' EL, 2015 kama Slaa mwaka 2010, ni 'mchezaji' mkali ambaye unaweza kumtumia sasa kubeba ubingwa wakati ukiendelea kukuza vipaji! Kuna fursa Mbowe ameiona, ambayo hata Slaa hakujua 2010 kwamba alikua 'usajili' wa msimu ule! Mbowe ni 'mtaalamu' hata ukimwita jina gani, au useme ameuza chama, kwa kazi ya mwenyekiti wa chama ni nini?! Uza chama, I mean, uza chama!! Wakati kuna watu vyama vinawadodea na kuwafia mikononi, Mbowe anauza chama.............chema chajiuza!
Hongera Mbowe, wacha EL akusogeze, kama siyo kukamata nchi mwaka huu, lakini mwendo huu, lazima utakua karibu! Mbowe amecheza, ni bonge la kocha, na Lazima tumpe pongezi zake!

Mkuu punguza mahaba au Wamarekani wanasema "Wake up and smell the coffee"
Lowassa hajapunguza absolute power ya CCM in fact amepunguza nguvu ya upinzani na wananchi wengi kuona wapinzani kama walaghai wasio na msimamo. Utaona uchaguzi huu jinsi Ukawa utakavyoangukia pua
Pili Mbowe na Lowassa wametoka mbali na hawawezi kutosana ila Lowassa ataenda zake kujipumzikia nje ya nchi. Mbowe sijui kama ataweza ku-retain kiti chake. Na hivyo ameshapiga hela hana shida na ubunge hata akiukosa.
Ila alichokifanya tokea 2011 ni kukiua chama na historia itamhukumu. Uzuri kumbukumbu imeachwa hapa.
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

Wajumbe wa mkutano Mkuu tujipange kukififua chama baada ya uchaguzi kwa kumfukuza Mbowe. Tuna hakika ccm hawawezi kumruhusu lowasa aingie ikulu kwa hiyo hata wagombea wetu wa ubunge na udiwani msimpigie kampeni lowasa. Mbowe maadili yote ya chama ameyatupa.
 
Mbowe ni genius! Kinachoendelea kwenye siasa za Tanzania, kinasaidia sana kumwonyesha Mbowe katika ubora wake, siyo ukabila lakini kuna wakati Wachaga wapewe sifa wanazo stahili. Mbowe anafahamu hesabu na anachanga karata zake na kuzicheza vizuri sana!
Sijui kwa wengine lakini, kusema kweli mimi naona urafiki wa Mbowe na EL siyo wa kudumu. Baada ya October 25, litajengwa 'tofali' jipya katika ujenzi wa democrasia ya vyama vingi Tanzania bila kujali itashinda UKAWA au CCM! Muungano wa UKAWA na EL, una nia moja tu kupunguza absolute power ya CCM na kama siyo CCM kufa basi iwekwe kwenye viwango sawa na vyama vingine.
Anyway u-genius wa Mbowe upo wapi? Ni kwenye 'usajili!' EL, 2015 kama Slaa mwaka 2010, ni 'mchezaji' mkali ambaye unaweza kumtumia sasa kubeba ubingwa wakati ukiendelea kukuza vipaji! Kuna fursa Mbowe ameiona, ambayo hata Slaa hakujua 2010 kwamba alikua 'usajili' wa msimu ule! Mbowe ni 'mtaalamu' hata ukimwita jina gani, au useme ameuza chama, kwa kazi ya mwenyekiti wa chama ni nini?! Uza chama, I mean, uza chama!! Wakati kuna watu vyama vinawadodea na kuwafia mikononi, Mbowe anauza chama.............chema chajiuza!
Hongera Mbowe, wacha EL akusogeze, kama siyo kukamata nchi mwaka huu, lakini mwendo huu, lazima utakua karibu! Mbowe amecheza, ni bonge la kocha, na Lazima tumpe pongezi zake!

Slaa alikuwa ni mchezaji mzuri sio mcheza rafu!
Slaa alipendwa kwa kuwatetea watanzania dhidi ya mafisadi.huwezi mfananisha Slaa na Lowassa hata kidogo.
Ukitaka kujua Mbowe sio kitu hebu tazama kwa sasa chama kilivyoyumba.
 
Mbowe katuuzia wananchi chadema nyie shida yenu nini acheni kujinyea na nyie uzeni ccm kwani mnakatazwa?mtaisoma no 25 oct
 
Slaa alikuwa ni mchezaji mzuri sio mcheza rafu!
Slaa alipendwa kwa kuwatetea watanzania dhidi ya mafisadi.huwezi mfananisha Slaa na Lowassa hata kidogo.
Ukitaka kujua Mbowe sio kitu hebu tazama kwa sasa chama kilivyoyumba.

Hofu yangu ni kwamba lowasa akishindwa hatakubali na vijana mtaumia sana. Haingii akilini jana lowasa ni fisadi papa na leo vijana wamesahau na wanamfuata kama mazuzu! Kama siyo pepo mchafu ni mini! Urafiki wa Mbowe na lowasa ni wa kimaslahi zaidi ndiyo msamiati wa kupiga vita ufisadi uliokuwa msingi wa kuipa nguvu iliyonayo chadema umatoweka mdomoni mwa Mbowe. Vijana mtayakumbuka maneno haya mkianza kuumia.
 
Uko sahihi mkuu na tuna mwezi mmoja kuwaelewesha hawa vijana.
Lowassa ni fisadi na kawahadaa vijana wenye upeo mdogo kuwa ataleta mabadiliko. Vijana wameshindwa kudadavua kuwa ahadi zake ni unrealistic na kuwa Lowassa ni fisadi papa. Hapa muhimu ni kuendelea kuwaongezea uelewa.
Ila kwa ninavyoona trend naona elimu imeanza kufanya kazi na hata vijana wameanza kuelewa. Huu uzi kwa mfano ni elimu tosha kwao.
 
Hofu yangu ni kwamba lowasa akishindwa hatakubali na vijana mtaumia sana. Haingii akilini jana lowasa ni fisadi papa na leo vijana wamesahau na wanamfuata kama mazuzu! Kama siyo pepo mchafu ni mini! Urafiki wa Mbowe na lowasa ni wa kimaslahi zaidi ndiyo msamiati wa kupiga vita ufisadi uliokuwa msingi wa kuipa nguvu iliyonayo chadema umatoweka mdomoni mwa Mbowe. Vijana mtayakumbuka maneno haya mkianza kuumia.

Siyo kwamba wataumia tu bali hawataelewa kwanini wanaumia; wataona wameonewa. Wazee watazuia haya mafuriko uchwara na vijana watawakasirikia wazee... hawatajua kuwa miongoni mwao wapo vijana waliofunguka na kuelewa tishio la Lowassa kwa taifa.
 
Mbowe kashaanza kuwaandaa watu kisaikolojia baada ya kuona biashara yake imebuma. Jana amesikika akisema kuwa kura zao zitaibiwa na jeshi.
 
Ni kweli Mkuu. Lakini uzuri ni kuwa tutakuwa tumejifunza kitu kama Taifa. Haiwezekani kama Mbwambo alivyoandika tuwe taifa la DECI, Babu Loliondo na sasa Mabadiliko uchwara na kila wakati wakatuhadaa wajanja wachache. Na ukiangalia walioitengeneza ile kampeni ya Ari Mpya - Maisha bora kwa kila mtanzania ndiyo hao hao wanaotengeneza mafuriko uchwara ya Lowassa. Na hatujajifunza kitu mpaka leo?
Mbowe ni opportunist lakini Lowassa na gang yake ni zaidi ya hayo, wanahaha miaka 8 wanatafuta urais kwa nguvu. Tujiulize kwa nini?
 
Mbowe kashaanza kuwaandaa watu kisaikolojia baada ya kuona biashara yake imebuma. Jana amesikika akisema kuwa kura zao zitaibiwa na jeshi.

Haha Mkuu, sikuisikia hiyo! Kweli biashara yake imebuma! Hivi Jeshi leo ikose kazi ya kulinda mipaka iingie mitaani kukimbizana na masanduku ya kura?
 
Jitihada za Mbowe kutafuta huruma...
 
Attachments

  • 1443425143253.jpg
    1443425143253.jpg
    62.4 KB · Views: 161
Halafu watu hawaamini au wamefunga macho hawataki kuona kuwa wameuzwa!!

Mabadiliko kama mabadiliko mengine tu. Miaka yoote tumewapigia kura hao waadilifu, wamefanya nini tofauti na Kupiga deals na kula bata? Sasa ni zamu ya fisadi ili tuje kutofautisha kati anayeingia ikulu na baiskeli na kutoka bilionea au bilionea anayeingia ikulu na kutoka na baiskeli? Mzee Mwanakijiji Acha ushabiki usiotuletea maslahi kwa wabongo, wewe upo ugaibuni miaka dahari kinachotokea huko wewe ni shahidi bila ku balance power mambo huwa hayaendi. Kama haujisahaulishi Wamarekani walitaka mabadiliko (change we need) pamoja na ubaguzi woote wa rangi walifanya maamuzi mgumu. Walisema watamchagua Obama ili wataalamu wao waje kuwa America is for all. Tatizo wengi wetu mnapokuwa nje huwa ya Tz huwa hatupendi kuiona nchi yetu I kipara Maendeleo na pengine hii inatokana na kufadhiliwa na Mafisiem. KURA YANGU NAMPA FISADI there is no way out. Tanzania ni yetu watanzania sio mali ya ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom