Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Huyu DJ form six failure ni hustler kwa kweli. Na bado sasa. Wakibahatika kutinga Magogoni ndo itakuwa funika bovu. Naona atamiliki Dubai yote. Hebu kikombe hiki na kiipite nchi yangu!
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

Mungu amekulaani ulichotaka kuandika kisieleweke.rudia kichwa chako cha habari hapo juu.Chezea mabadiliko yanayoongozwa kwa nguvu za Mungu.mtalaaniwa wote vimbele mbele.
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

Tushakufahamu huwezi acha ushoga wa kisiasa wewe
 
Maneno ya Zitto Kabwe,Slaa mtakuja kuyakubali tu its the matter of Time
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

Mbona kama vike umepanic au umeachika nini?
 
Huyu DJ form six failure ni hustler kwa kweli. Na bado sasa. Wakibahatika kutinga Magogoni ndo itakuwa funika bovu. Naona atamiliki Dubai yote. Hebu kikombe hiki na kiipite nchi yangu!

Ni tanzania pekee yenye watu waliobaki na mawazo kama yako pole sana.
 
Kwanini magazeti ya IPP MEDIA na HABARI CORPORATION wanashabikia kwa nguvu zote kampeni za Lowassa? Ukisha pata jibu la swali hili. Jiulize swali linguine tena, ni nani mumiliki wa IPP media na Habari Corporation? Ukisha pata jibu, atajua kabisa kwanini Mbowe mfanyabiashira anaejiita Mwanasiasa na mpigania haki za wanyonge aliiuza CHADEMA kwa Lowassa. Hawa wakikabiziwa nchi hawatakuwa tena wamiliki wa hisa bali matajiri na wafanyabiashara wakubwa wanao miliki makampuni ya mafuta na gesi na haitachukuwa muda mtaanza kuwaona akina Lowassa na Rostam kwenye orodha ya matajiri wakubwa wa dunia hii za forbes.

Ni Bora Hawa wawe Matajiri. Kuliko Ninyi Mliowapa Wachina Kila Kitu Mpaka Tembo.
 
Hivi huu muda mliokusanyana mtoe ushuzi wa kumsema Mbowe mngekuwa mnampigia debe au kuueleza umma ubora wa kufuli la mbao si lingekuwa jambo la maana?
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

Kwani Kuwa Tajiri ni Dhambi? Maana naona Ccm Mnawa nyanyapaa sana Matajiri.

Msidhani Umaskini Ni Heshima, Kama Ingekua Ni Heshima Kikwete Asinge Tembeza Bakuli Ulimwenguni kuomba fedha.

Basi Kama Mbowe Kauza Chama. na Kikwete Kauza Nchi.
 
Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.

Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.

Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?

Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.

Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .

peleka upumbavu huko. Zumbukuku wewe
 
Ukawa lazima mtokwe povu kwa hili ila ukweli unauma mbowe kauza haki yenu zubaeni
 
Kuna mpango wa Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili Viongozi wa Chadema waache kumsema Mr. Monduli kuwa ni fisadi.

Mh.Zitto Kabwe anajitahidi kwa kila hali kuzuia mpango huo

===========

Mmoja kati ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi(jina tunalihifadhi kwa sasa) anadaiwa kuwa kwenye mazungumzo ya siri na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Freeman Mbowe ili kuingia ubia na chama hicho.
Wale viongozi wa Chadema na wakereketwa waliopo humu JF watuthibitishie hii habari kama ni kweli.

Katika ulimwengu wa unafiki, muda ndio kila kitu, tunataka utuhibitisho gani tena?? Lowassa yuko ndani ya CHADEMA, ufisadi sio ajenda tena ya CHADEMA, chama kimenunuliwa kwa bei chee kabisa. CHAAMA kinachoweza kukemea ufisadi sasa ni ACT TU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom