Wauze tu ,kwani hicho si kijiwe cha biashara

Mabadiliko kama mabadiliko mengine tu. Miaka yoote tumewapigia kura hao waadilifu, wamefanya nini tofauti na Kupiga deals na kula bata? Sasa ni zamu ya fisadi ili tuje kutofautisha kati anayeingia ikulu na baiskeli na kutoka bilionea au bilionea anayeingia ikulu na kutoka na baiskeli? Mzee Mwanakijiji Acha ushabiki usiotuletea maslahi kwa wabongo, wewe upo ugaibuni miaka dahari kinachotokea huko wewe ni shahidi bila ku balance power mambo huwa hayaendi. Kama haujisahaulishi Wamarekani walitaka mabadiliko (change we need) pamoja na ubaguzi woote wa rangi walifanya maamuzi mgumu. Walisema watamchagua Obama ili wataalamu wao waje kuwa America is for all. Tatizo wengi wetu mnapokuwa nje huwa ya Tz huwa hatupendi kuiona nchi yetu I kipara Maendeleo na pengine hii inatokana na kufadhiliwa na Mafisiem. KURA YANGU NAMPA FISADI there is no way out. Tanzania ni yetu watanzania sio mali ya ccm.

ungesema ingawa wewe ni chizi wa ccm maana kuwa ccm sio tatizo bali aina ya uanachama ulionao
Kwani MTU akiudhika ruksa kuchoma nyumba yake moto? Obama naye alikatwa?
Mkuu natumai uliisoma na kupitia ulichoandika kabla ya ku post.
Hivi mabadiliko ambayo Chadema ilidai inapigania na kuvuta pesa kutoka kwa wadhamini wa nje kama CDU ya Ujerumani ilikuwa kwa ajili ya kuweka fisadi Ikulu?
Do you hear what you are saying?
Kuhusu Obama ni uongo mtupu ulichoandika mnarudia mpaka mnadhani ni ukweli. Obama hakuchaguliwa kwa sababu ni mweusi but despite of being Black.
Finally watanzania si fanatics na msifikiri mnaweza kutupumbaza kumbe mna uchu ya madaraka. Tunajua mnataka kuingia madarakani ili mkwapue vizuri. Hii slogan yenu ya Mabadiliko ni danganya toto. It's not change but more of the same. Na dili mlianza kusuka tokea 2011. Evidence hii hapa!
Mabadiliko kama mabadiliko mengine tu. Miaka yoote tumewapigia kura hao waadilifu, wamefanya nini tofauti na Kupiga deals na kula bata? Sasa ni zamu ya fisadi ili tuje kutofautisha kati anayeingia ikulu na baiskeli na kutoka bilionea au bilionea anayeingia ikulu na kutoka na baiskeli? Mzee Mwanakijiji Acha ushabiki usiotuletea maslahi kwa wabongo, wewe upo ugaibuni miaka dahari kinachotokea huko wewe ni shahidi bila ku balance power mambo huwa hayaendi. Kama haujisahaulishi Wamarekani walitaka mabadiliko (change we need) pamoja na ubaguzi woote wa rangi walifanya maamuzi mgumu. Walisema watamchagua Obama ili wataalamu wao waje kuwa America is for all. Tatizo wengi wetu mnapokuwa nje huwa ya Tz huwa hatupendi kuiona nchi yetu I kipara Maendeleo na pengine hii inatokana na kufadhiliwa na Mafisiem. KURA YANGU NAMPA FISADI there is no way out. Tanzania ni yetu watanzania sio mali ya ccm.
Haha Mkuu, sikuisikia hiyo! Kweli biashara yake imebuma! Hivi Jeshi leo ikose kazi ya kulinda mipaka iingie mitaani kukimbizana na masanduku ya kura?
Mbowe aliona slaa PhD YAKE ni ya bure na kumuona lowasa ambaye hata pg moja ya hotuba YAKE hawezi kuiweka kichwani,kweli mbowe ni ziro ya six
Mura,
hivi unajua wewe Ni mseng.e Tu kama maboya wengine...
kama CCM mmekula kodi zetu over 50 years,Kuna tatizo gani ukawa nao wakala kwa miaka mitano...
halafu nataka uniambie nani Ana uchu wa madaraka Kati ya yule aliyeko madarakani over 50 years na bado anataka zaidi...au yule ambaye hajawahi kuwa na hayo madaraka hata kwa sekunde moja...nani Ana uchu wa madaraka hapo...
Nasisi washabiki na wanachama tumeuzwa pia ulitusahau katika bango lako.