Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Uzuri katika uzi huu umekutana na vichwa hatuna mihemko. Kasome kwanza uzi ulianza lini . Mwaka 2011. Tunajua Lowassa na genge lake akina Rostam wana pesa so kutengeneza nyomi katika nchi maskini si ishu. Mnachotakiwa kuelewa kama wewe ni mwanachadema halisi na asili ni kuwa chama chenu kiliuzwa tokea 2011.
Sasa kamtafute Molemo na akina Ben Saanane waje huku kukanusha habari hii. Maana wanaukimbia, mnaingia nyie msiojitambua!
 
Mura,

hivi unajua wewe Ni mseng.e Tu kama maboya wengine...

kama CCM mmekula kodi zetu over 50 years,Kuna tatizo gani ukawa nao wakala kwa miaka mitano...

halafu nataka uniambie nani Ana uchu wa madaraka Kati ya yule aliyeko madarakani over 50 years na bado anataka zaidi...au yule ambaye hajawahi kuwa na hayo madaraka hata kwa sekunde moja...nani Ana uchu wa madaraka hapo...

naona unashambulia kweli kutetea majizi. huenda na wewe hni mmoja wao. lowassa naye ni ccm dam dam amin usiamin. ni miongoni mwa walio tufikisha hapa tulipo hata kama leo yupo upinzani. ila subiri dawa ya majizi iko jikoni. Magufuli anatisha.
 
mkuu nashindwa kuelewa ukweli wa habari hii kwa sababu 2011 dr. slaa alikuwa katibu mkuu wa chadema,na ndie aliyemtaja lowassa ktk list of shame.sasa ingewezekanaje huyo kiongozi wa ccm amhusishe mbowe peke yake?na pia kuna viongozi waandamizi ktk chama. na mbona kwenye mchakato wa lowassa kwenda chadema uongozi wote wa juu ulihusishwa? unataka kutuaminisha kuwa wote walinunuliwa hiyo 2015?
 
Hebu isome vizuri habari kwa utilivu .. Dili hii ilikuwa ya Mbowe - personal project na ilianza kwa kununua sapoti mpaka imeishia kuhamia. Suala hili aliliibua Mbowe bila wengine kujua kuna biashara na Zitto alipinga .. sioni hapo kisichoeleweka. Iko straight forward. Subiri akina Molemo waje kukanusha maana wanakwepa hii thread kama ukoma!
 
Wewe mchambuaji mzuri sana. Heshima kubwa sana kwako na utakuwa ndiyo mtu mwenye Busara kuzidi wote humu JF.

attachment.php

Hebu isome vizuri habari kwa utilivu .. Dili hii ilikuwa ya Mbowe - personal project na ilianza kwa kununua sapoti mpaka imeishia kuhamia. Suala hili aliliibua Mbowe bila wengine kujua kuna biashara na Zitto alipinga .. sioni hapo kisichoeleweka. Iko straight forward. Subiri akina Molemo waje kukanusha maana wanakwepa hii thread kama ukoma!
 
Habari hii tutaisoma mara baada ya uchaguzi kupita. Sasa hivi ni habari za MC4, Ulipo Tupo, Vuka Mto na Toroka Uje. Kitaeleweka tu.
 
moderators huu uzi unasubili nini kuwa sticked pale juu????

Mkuu kuna watu wanatamani uzi huu ufungiwe, tatizo ni la 2011 na limeeleza kilichodhihirika 2015, sasa hawana njia. Na siku zote JF hawana ubaguzi.
Ila uzi huu umewafungua watu macho sana. Hata suala la Zitto sasa ni dhahiri!
 
***** yaani wanatufanya mafala hivihivi wao wanapiga pesa sisi tunaimbishwa??? ACT naomba kadi sitaki tena kusikia CHADEMA, kumbe nayo majizi tu!!!
 
kauza chama magufuli anaendelea kukusanya wapiga wa kutosha na amekubalika no mrte turning back
AoJJ_mHR6qBlOmlROfJbMv7uCo2iXYIQxNvbQmtMGoIu.jpg
 
kauza chama magufuli anaendelea kukusanya wapiga wa kutosha na amekubalika no mrte turning back
View attachment 294799

Hii thread ni mwiba kwao na hawatii mguu huku. Lakini watu wameshaanza kuzinduka na kutambua kuwa mabadiliko wanayohubiri akina Mbowe na Lowassa na Sumaye ni mabadiliko hewa. Wanaoshabikia ni wanufaika wa dili. Waliodanganywa wameanza kuzinduka!
 
Stunning!

Hii habari ilisikika huko nyuma na watu wakaipotezea lakini jamani lisemwalo lipo na kama halipo basi laja.

Mimi nikiangalia mwelekeo hata wa gazeti la Tanzania Daima hivi karibuni ninapata picha kwamba kuna jambo linachemka n siyo muda mrefu tunaweza kuona kitu cha kushangaza. Gazeti hili ambalo huko nyuma lilikuwa makini sana, kwa sasa limegeuka kuwa mdomo mahiri wa bwana Lowassa kila anapokuwa na lolote la kumpandisha chati. Hata suala la Dowans linavyopigiwa debe chanya na akina Hapiness Katabazi na wenzake ni jambo ambalo si la kupuuza.

Lakini hili la bwana Kibanda kuwa ndiye "mmiliki" wa jarida la UMOJA ambalo duru za uchuguzi zinasema ni mradi wa kumtakasa mkubwa huyu, na wakati huo huo akiwa ni mhariri mtendaji wa Tanzania Daima ni mambo yanayoleta mkanganyiko wa kujenga mashaka.

Chadema liangalieni hili kwa jicho lisilo la kishabiki ili kama lipo lizuiwe mapema maana litakiua chama au kukiondolea imani kwa wananchi.

Daaah kweli pesa tamu
 
Uzuri katika uzi huu umekutana na vichwa hatuna mihemko. Kasome kwanza uzi ulianza lini . Mwaka 2011. Tunajua Lowassa na genge lake akina Rostam wana pesa so kutengeneza nyomi katika nchi maskini si ishu. Mnachotakiwa kuelewa kama wewe ni mwanachadema halisi na asili ni kuwa chama chenu kiliuzwa tokea 2011.
Sasa kamtafute Molemo na akina Ben Saanane waje huku kukanusha habari hii. Maana wanaukimbia, mnaingia nyie msiojitambua!

yani mkuu ukisoma huu uzi na kinachotokea leo utagundua africa itakua nchi isio na uhakika wa utulivu,africa hakuna haki,africa ni nchi yakisanii,kupitia pesa watanzania tumeshikwa masikio na tunaburutwa hovyo,masikini wana burutwa na tunaowaona matajiri nao wanaburutwa na waliowazidi kipesa,huwezi amini Mbow' licha yakua na uwezo kipesa lakini waliozidi kipeza naye wamemburuta.Mungu ibariki Afrca,Mungu ibariki Tanzania,Mungu tuepushe na hili balaa
 
moderators huu uzi unasubili nini kuwa sticked pale juu????

Kweli mkuu huu uzi unaweza kutumika kufundishia mashuleni jinsi wanasiasa wasovyokuwa na chembe ya aibu au huruma.

Pia utaweza kufundisha kwa nini chadema ilianguka.
 
Kweli mkuu huu uzi unaweza kutumika kufundishia mashuleni jinsi wanasiasa wasovyokuwa na chembe ya aibu au huruma.

Pia utaweza kufundisha kwa nini chadema ilianguka.

nasasaivi ukiuangalia ukawa unamuona lowas peke yake na msemaji wake. Mgombea makamu chali. au wewe unamsikia nimeamini kweli huu ni umoja wa katiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom