Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
Nyie ngojeni tu; wakishashindwa ile Oktoba 25, makala hii hapa itatumika kuleta vurugu CDM hadi watu hawa hawa ambao leo wanamshabikia Lowassa watageuka na kusema "ooh alinunua chama chetu"! Leo wako kimya kwa sababu wanafikiria watapata madaraka; wakikosa ndio yatakuwa yale yale ya wale watu wazima wanapokuja na kusema "ooh nilishinikizwa kuhama chama!"