Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Me nilijua tu toka lini mchaga akafabya siasa ya kweli na bado atawauza hadi hao vijana wanaomshabikia kutwa
 
Naona wanachana wa CDM asilia wameanza kuzinduka. Ndo wajue jasho na damu yao kwa Mbowe ni sawa na pesa. Ina bei! Tunasubiri mengine mengi yaje yadhihirike!

Asante sana Slaa kutuamshia hawa Vijana. japo wachache but nao watazindua wengine.
 
kwisha habari yake, chama kimeshanunuliwa, akae asubiri tu ashuhudie mkasi ukipita oktoba, hahahahaha sijui ataenda wapi, arudi nyumbani tu, akauze chumvi
 
Hakuna kitu kigeni atakacho ongea Dr Slaa. Kama ni ufisadi mpaka kwenye kanga za wamama zimeandikwa, kama ni habari ya Mbowe kupokea fedha toka kwa Lowassa hizo ni habari za uongo. Hakuna sheria ya kutumikia chama kimoja na ufie hapo. Slaa katumikia chama kwa kipindi chake tunashukuru sasa wengine wanachukua nafasi ya kuendeleza gurudumu. Kumbuka lengo ni moja na watu ni tofauti.

Kauli za mtu mjinga ni kupiga masuala asiyoyafahamu ndugu wewe ni moja ya wajinga wasiotambua iliyo kweli kwahiyo wewe unaijua sana chadema zaid ya Dr slaa ama wee unamjua sana mbowe zaid ya Dr slaa acha ushabiki wa kijinga
 
hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!

Siku zote uzushi hauishi lakini kweli inaishi milele,sasa mpaka sasa bado tunaona jinsi mambo yanavyoenda chadema yaani sifa yote waliyotengeneza Tanzania imepotea kwa uroho wa mtu mmoja kwa kukiuza chama kizima ni hatari kwa nchi yetu....
 
Leo hii eti wanamtukana babu wa watu...kisa anathamini utu kuliko pesa. Mbowe nae tumkate tu...hatuna mpango nae kabisa sie. october watalia wengi jamani...wanaamini na wasioamini. CCM yetu machoooooooooo
 
Mbowe na fisadi wa chadema na kwasasa aneungana na mafisadi wengine kukimaliza chadema...
 
Leo hii eti wanamtukana babu wa watu...kisa anathamini utu kuliko pesa. Mbowe nae tumkate tu...hatuna mpango nae kabisa sie. october watalia wengi jamani...wanaamini na wasioamini. CCM yetu machoooooooooo

kununuliwa sio ishu eti, machangudoa wananunuliwa kila siku but deep down wana princilpe zao za life that clients will never break, ila sasa suala linakuja misingi uliosimamia tangu uanze unachofanya je imekiukwa?
with chadema babu slaa katufumbua macho na ya kwamba lisemwalo lipo kama halipo linakuja....hii article ni ya kitambo sana but look now...mpo wapy wana chadema asilia jikomboeni jamani
 
me naona mrudi tu chama Tawala kama veep....au kama veep endeleeni na upinzani kwa chama kingine aisee...CDM is dead and mazishi ni october 25. ACT wanakuja...kazieni nguvu labda
 
kununuliwa sio ishu eti, machangudoa wananunuliwa kila siku but deep down wana princilpe zao za life that clients will never break, ila sasa suala linakuja misingi uliosimamia tangu uanze unachofanya je imekiukwa?
with chadema babu slaa katufumbua macho na ya kwamba lisemwalo lipo kama halipo linakuja....hii article ni ya kitambo sana but look now...mpo wapy wana chadema asilia jikomboeni jamani

duu, hivi kweli ulifikiria kabla ya kuandika hiki?? kutwa tunapiga fuska , wewe unaufanyia na mfano kabisa
 
mwandishi wenu wa gazeti gani? na mpaka mbowe aweke ngumu eti waandikishane hiyo serikali ya umoja wa kitaifa itakuwa ya chadema na ccm tu? au ccm+cuf+cdm+nccr?

Hata bila ya kuambiwa, ni dhahiri kwamba Mbowe ameiuza CHADEMA pamoja na katiba yake, maana hata nyumba ikiuzwa sharti ubadili hati miliki, kama Mbowe ameweza kuvunja katiba ya chama basi, na chama amekiuza
 
Yani imetuuma sana na wengine tumeishajitoa rasmi kundini. Wengine hatuna bei itakuwaje tununuliwe kwenye kapu moja na Dj Mbowe?.

CHADEMA tuliipenda lakini Tanzania naipenda zaidi.
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

Mh huu ushabiki mwingine, mie sisemi kitu maana, sasa kama huyu hajielewi, kusoma hajui lakini picha na yenyewe haoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom