zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,097
kitendo cha mbowe kukaa karibu na mwigulu na wakapiga story ni cha kupongzwa. hasa kwa siku za hivi karibuni mvutano uliokuwepo kati ya upinzani na vyombo vya dola ambavyo waziri wake ni mwigulu. ni ishara tosha kuwa hayo yamepita, tunasonga mbele kujenga inch yetu. Safi sana mh Mbowe.Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale
Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
