kafuate mkumbo huko ccm ya chadema hayakuhusu,wacha tufanye yetuKabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika msanii huyo akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale
Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
ilikuwaje mkasusia mualiko wa futari kule Dodoma??Sasa wewe siasa unazichukulia uadui ?! Hii ni tabu vyama tawala kuvichukulia vyama pinzani kama maadui! !
Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika msanii huyo akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale
Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
Nonsense!!! Una Elimu ya darasa la ngap wewe??… nijibu then ntakueleza kitu??Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika msanii huyo akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale
Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
Alafu sasa anaendesha vikao vile walivyoapa kususia, na wamekaa tulii!Umewasahu waliosusia futari ya waziri mkuu kisa Naibu spika kaalikwa
kwani wwe ulikua tayari kuandamana...kama hukua tayari utafiti una ukweliMessage ilifika mpaka utafiti uliochakachuliwa ukafanyika. Haiwezekani asili mia 85 ama 95 zikataka upinzani wanautaka na uruhusiwe kufanya kazi yake lakini asili 16 tu wawe ndiyo wameusikia. Na asili mia 9 tu eti ndiyo wako tayari kuandamana nchini.🙂 🙂 Haiwezekani
Mkuu ndio hivo Mbowe akiwa na ccm haina shida lakini mpinzani mwingine ni shiiida.Angekua Zitto hapo ungeona mapovu toka Bavicha.!
Ameshangilia goli la mkono la nape wa yanga.Askari walipomuona tuu Mbowe wakaanza kutupiga mabomu daahh..!!