Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Watu wanabebwa lkn hawabebeki.
IMG-20161001-WA0024.jpg
 
yaani mpaka kwenye michezo mnaleta siasa, sijui nani katuroga
 
Leo nimemuona kwa macho yangu, akiwa na mwingulu wakishangilia timu yao ya CCM Dah kweli siasa hizi, pasua kichwa.
Haya bwana ila sisi hatudanganyiki na hatufungiki kirahisi. Team profesa
Shauri zenu mnaotoana macho mnapokuwa kitaa,wenzenu hata wakipigana kavukavu jukwaani kitaa wanakuwa ndugu mmoja wanakula,kunywa na kucheka pamoja.
 
Na upande wa pili wakijibu mashambulizi mwenyeki wenu wa chama anabaki analalamika majukwaani kuomba mitandao ifungwe
 
Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale

Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
Una maana yuko karibu na Malyamungu basi anachota siri ya wataouawa mwezi huu
 
Nakumbuka Magufuli alisema amepata muuijiza wa kusalimiana na Lowassa, leo tena mwigulu kapata muujiza muulizeni leo atalala fofofo
 
Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale

Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
Hatufuati CDM, tunafuata philosophy ya CDM
 
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya uzi huu na nyumbu??? Maana imewekwa picha ya nyumbu wakivuka mto
 
Back
Top Bottom