Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Umemfananisha, Mbowe hawezi kukaa karibu na Mwigulu! Khaaaaah, haiwezekani mwenyekiti akalamba matapishi yake!

Tena wanapiga Story kwa mbwembwe na Bashasha na laiti hili lingefanywa na Mwingine yeyote wangesema achunguzwe Mara kanunuliwa etc!
 
Kwa hiyo mnasikitika kwa kuwa Mbowe amefuta UKUTA siyo? Ni vema msikitike kwani hakutakuwa na shughuli za maendeleo tena kwani zote zinaletwa na UKUTA.
Kumbuka tarehe 1 Augusti wanajeshi kusafisha mji.
Tarehe 1 September wananchi ama wanafunzi 🙂 🙂! 🙂 kupanda miti!
Mbowe atupe tena tarehe ya UKUTA
tufanye maendeleo
Bila UKUTA hamna maendeleo.
Hahahaha 🙂 🙂 🙂
Shame on you Makonda.
Unatumia watoto wa shule kupambana na UKUTA?
Hiyo ni kuwatia watoto vibaya!!
 
Halafu mnafanya usafi na kupanda miti katika maeneo yanayoonekana na wakubwa tu.
Yale mahandaki yaliyo barabarani, maji machafu, barabara mbovu mwananyamala, sinza, buguruni serikali ya awamu ya tano hamyaoni?
Mnafanya tu show off ya minor things Ali Hassan Mwinyi road na kule kwenye barabara.
Je kule ambako hakuna barabara tufanye nini
Tuwashangilie tu siyo.
Please stop it tunataka barabara huku kwa wananchi siyo kwa matajiri tu.
Acheni usanii. Hata kule ambako haoni raisi ama WMkuu tufanye kazi.
Na siyo kusubiri UKUTA!!! 🙂
 
Teamprofesa imefanya yake.
Team ccm mwenyewe Mbowe.. CCM + CHADOMO = YANGA.....
 
Yani asiende kuangalia mpira na kuburudika na timu yake pendwa ya YANGA kisa alitangaza ukuta au kilichokuuma zaid ni kukaa na Mwiguru Lameck Nchemba????
 
Yaani wewe unafikiri siasa ni kama kwenda msalani... Unafanya hicho hicho kilichokupeleka pale kwa stahili ile ile..!!
Si ni chadema waliosema hawatashirikiana na wabunge wa ccm wala atakapokuwepo Magufuli hawaji?
 
Sasa wewe siasa unazichukulia uadui ?! Hii ni tabu vyama tawala kuvichukulia vyama pinzani kama maadui! !
Kwenu nyie wasaliti,kwa wenzenu siasa si uadui
Leo povu limemtoka Mbowe eti hawamtambui Lipumba na asipewe ushirikiano,alimwambia Lipumba anamhitaji Mbowe na ukawa nani
 
Kitendo cha kushangaa Mbowe kujadili mawili matatu na Mwigulu, wakiwa michezoni, uwanjani, si dalili njema.

Taafiti mbalimbali za kisayansi zimetufunza kwamba kuna tatizo kubwa miongoni mwa watu wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea mpaka kuelekea uzee. Ni tatizo la watu kupatwa na mishangao ya kipumbavu.

Utafiti wa hivi karibuni umefanywa na shirika la kitaaluma na kitabibu la Psychodoc Frontiers la nchini Marekani.

Kwa mujibu wa utafiti huo uliofanywa na shirika hilo katika nchi 10 zikiwemo za Afrika na Asia, watu waliofanyiwa utafiti huo (sample population) walikuwa 701,025. Matokeo ni kwamba zaidi ya 42.03% ya watu hao walikutwa na tatizo la mshangao wa kipuuzi.

Na pia 91.67% ya wale waliokutwa na tatizo hilo la mshangao wa kijingaa waligundulika kuwa ni watumiaji wakubwa wa ugoro (wa kuvuta kwa pua na hata wa kuvuta kwa kinywa).

Kwa hiyo hawa watu wanaotiririka hapa kutoa hoja za kuponda tendo la kiungwana na la kimichezo kama hili la Freeman, wanadhihirisha to ukubwa wa tatizo hili.
 
Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta ukuta,bila sababu za kueleweka huku akiwa ametoa maagizo mazito ya kuchangishana pesa ambazo wameliwa,hakijapoa,,
Kamera za televisheni ya Azam,zimemmulika akiwa uwanja wa taifa,kapiga nne,akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote pale

Ushauri wangu
Chadema sio kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata mkumbo bila ya kupima
Nilidhani ungeanza kusema Dar leo MITI mingapi imepandwa maana tumemuona simba wa vita uwanjani na alitangaza tar 1 october yeye na wajeda wataongoza wanadar kupanda miti.Mbowe kuwa uwanjani siyo hoja kwa kuwa na yeye n mwananch kama ww ana haki pia ya kushabikia na kuangalia mpira.
 
Hivi Mods hii ni sahihi Mbowe kuitwa msanii?
mtu aliyekuwa DJ kuna kosa gani kumuita msanii.. si unawaona akina adam mchomvu! ni ma DJ na mara moja moja wanatupia single zao. mie naona ni mule mule tu.
 
Back
Top Bottom