asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
Kila la kheri Mbowe.
Kila la kheri chadema.
Kila la kheri ukawa.
Kila la kheri chadema.
Kila la kheri ukawa.
Mbowe hayo magwanda yake analala nayo au maana hayabanduki mwilini mganga wake kiboko
Sijui wenzangu mmeona aina ya wahudhuriaji wa hii mikutano. CcM wengi wa wanaohudhuria ni wakina mama na wazee na baadhi ya wasichana. CDM wengi ni vijana wa kiume na baadhi ya wababa ambao sio wazee. Kuna kundi ambalo halijalengwa vijana wa kike na watu wa umri wa kati. CdM inabidi kuconnect na wakina mama kama ikitaka kushinda. Vijana si wa kutegemea sana kwani siku ya kupiga kura sometimes hawajitokezi kwa kuwa wana priorities zingine hata kwenda kwenye pombe. But women wakp loyal. Ndio maana ccm inashinda. Vijana wakihamasishwa na wakiamua kukataa kuchaguliwa viongozi na wazee wao tutaona changesElimu ya upigaji kula inatakiwa zahidi
Tabora kuna kiwanda gani? Hapo wote ni majobless wanapoteza muda tu wakalale
Hebu tuelewesheni huyu mhuni amefunikaje?
Mbona Mbowe hayo magwanda hayabadilishi au ni masharti ya mganga wake.?
Sijui wenzangu mmeona aina ya wahudhuriaji wa hii mikutano. CcM wengi wa wanaohudhuria ni wakina mama na wazee na baadhi ya wasichana. CDM wengi ni vijana wa kiume na baadhi ya wababa ambao sio wazee. Kuna kundi ambalo halijalengwa vijana wa kike na watu wa umri wa kati. CdM inabidi kuconnect na wakina mama kama ikitaka kushinda. Vijana si wa kutegemea sana kwani siku ya kupiga kura sometimes hawajitokezi kwa kuwa wana priorities zingine hata kwenda kwenye pombe. But women wakp loyal. Ndio maana ccm inashinda. Vijana wakihamasishwa na wakiamua kukataa kuchaguliwa viongozi na wazee wao tutaona changes
Hawana jipya mbona unatoa maoni juu yao kwa kifupi waongea kinyume.Chadema hawana jipya
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
ha ha ha mhuni yuko usa anatolewa busha!
Sits mavi yanamgonga chupi.
yaani mkuu umenifurahisha na jibu lako murua kwa huyo hanisi.ha ha ha mhuni yuko usa anatolewa busha!
Mbowe hayo magwanda yake analala nayo au maana hayabanduki mwilini mganga wake kiboko
Umechukia sana kwasababu upo hapa kutetea maslahi ya wezi.
Hupendi kabisa mwizi atajwe kwasababu wewe unaishi kwa pesa za wizi.
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
ha ha ha mhuni yuko usa anatolewa busha!