Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

yegella

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,113
Reaction score
1,104
Mbowe kuhutubia Urambo 3..jpg
Patrobaz Katambi Urambo.jpg
Mbowe kuhutubia Urambo 2..jpg
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Urambo, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Extended juzi.
Patrobaz Katambi Urambo.jpg
Mbowe, Katambi kuwasili Urambo.jpgMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili kwenye Uwanja wa Extended mjini Urambo, ambako alihutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya Oparesheni Delete CCM
Mbowe kuwasili Urambo.jpg
Siku za mafisadi zina hesabika- Futa delete kabisa CCM
 
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
 
Mbona Mbowe hayo magwanda hayabadilishi au ni masharti ya mganga wake.?
 
laki si pesa hata kinana akifanya mkutano watu wanaoenda hawana kazi?
_je mdee naye alikuwa na chopa? angalia na mkutano wa bunda kama kuna chopa....
::::alafu ID za lumumba zimebaki nne tu jf
 
Last edited by a moderator:
...

....Mlioko Bunda tupieni mapicha msitubanie peeeeeeeeeeeeeeeeeeeepozzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!
 
Unaweweseka tu ww mara oho wemenda kushangaa chopa mara oho hawana kaz.

Kamanda mwambie wanshangaa chopa iko imara ilhali ile ndege ya rais waliyokula majani ili inunuliwe inasubiria kuuzwa kama chuma chakavu chezea mchwa wa ccm wanakula hadi chupa
 
Back
Top Bottom