Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

Mbowe afunika Urambo jimboni kwa Mh. Sitta

Mbowe hayo magwanda yake analala nayo au maana hayabanduki mwilini mganga wake kiboko
 
CHAMA cha SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Tabora kuna kiwanda gani? Hapo wote ni majobless wanapoteza muda tu wakalale

Kwani utawala gani umesababisha kusiwe na viwanda au shughuli za kiuchumi Tabora? Tunashukuru kwakutubeza kiasi hiki ila kalamu zetu zitafanya kazi
 
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
Hata wangekuwa na kazi ya kufanya wasingefanya maana Rais wao na ccm wamewaaminisha kuwa nchi itajegwa kwa kutembeza bakuri kwa wazungu-So hapa wanapata ukombozi wa fikra pia
 
Tabora watu wengi hawana kazi za kufanya. Hapo wanapoteza muda siku iishe wakalale.
ktk mkoa ambao unanishangaza ni tabora watu wake wote wanajazana sokoni/wanacheza bao hakika wanahitaji uamsho! wa ki fikra ni jinsi gani wataiepuka "ccm" kwa akili zao zote!
 
ktk mkoa ambao unanishangaza ni tabora watu wake wote wanajazana sokoni/wanacheza bao hakika wanahitaji uamsho! wa ki fikra ni jinsi gani wataiepuka "ccm" kwa akili zao zote!

....msomareeee afunge virago Proffff Lipumba anakuja huko
 
Back
Top Bottom