CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #81
Ahsante! Yawezekana ilikuwa hivyo, mimi nilidhani ni Mkutano wa kawaida wa Chama.Kuna mikutano wanahudhuria wale jamaa wa kule moshi tu! Pole mkuu!
Ahsante! Yawezekana ilikuwa hivyo, mimi nilidhani ni Mkutano wa kawaida wa Chama.Kuna mikutano wanahudhuria wale jamaa wa kule moshi tu! Pole mkuu!
Itakua walikua wanazungumza mambo ya huko nyumbani kwao moshi tena kilugha, ungeelewaje mkuu!Chadema hakuna SHINA kuna MSINGI hao Lumumba waliokutuma wamefeli.
Katika maudhui ni kitu kimoja. Hakuna haja ya kugeuza hiyo kuwa hoja ya msingi.Chadema hakuna SHINA kuna MSINGI hao Lumumba waliokutuma wamefeli.
Kwa sababu wewe ni mamlukiKatika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.
Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.
SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Ulikua umetumwa ukapeleleze?Hapana Mkuu ni nyema kushirikishana katika kila hatua.
Sio kweli!!!!!!!!!Ulikua umetumwa ukapeleleze?
Unatuamishia mawazo yako juu ya mnachokitenda mara kwa mara......pang ugaid