Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Shetani alivyokuumbua, afadhali upotee tu. Wamekukataa kwa sababu wewe siyo CHADEMA. CHADEMA WOTE WANAJUA NA HAWAHA SABABU YA KULALAMIKA HAPA. CHADEMA HAWANA VIONGOZI WA SHINA. BILA SHAKA WEWE NI CHAMA CHA MUMIANI.
Tuaminiane jamani!
 
Wewe kiongozi kwanza uwe na adabu! Hata kikao hakijaisha hujaambiwa wala kujua lolote kuhusu kikao wewe umeshafika jukwaani kushtaki halafu umesema ni kikao chenye usiri mkubwa wewe tayari upo huku kukisema hicho hivi una shida gani? Hebu jiheshim vikao hualika wahusika, kikao kinahudhuriwa na mwenye kiti wa chama taifa huna mwaliko we unaenda kufanya nini! Kama kuna maelekezo utapewa subir viongoz wa juu yako watakupa yanayokuhusu na yawezekana pia kisikuhusu, siku nyingine ukiona na kusikia hayo kaa kimya.
 
una mwaliko? wajumbe halali watakuwa na mwaliko.kuwa kiongozi wa shina sio tiketi ya kuingia kila kikao cha chama
 
Usigeuze Shina ndio mada ya kujadiliwa. Ngazi ya Msingi katika Uongozi haina tofauti za kiutendaji na Shina kwa wa CCM. Hivyo kwa lugha nyepesi ya kueleweka ukisema Shina hamna kilicho alibika.

Lengo ujumbe ufike, kwa nini kuna vikao vya siri? Na wakati huohuo maamuzi na mipango ya vikao hivyo yanaletwa ketu viongozi wa chini kwa ajili ya utekelezaji bila kushirikishana tangu kupanga mipango hiyo?

Hata lugha yako, inaonyesha dhahiri kwamba wewe si mmoja wao!.

Huwezi kusema Raisi wangu Nkurunziza ukimaaninsha raisi Magufuli wa Tanzania halafu ukiulizwa usema,kikubwa wote ni maraisi ila sikumaanisha raisi wa Burundi.

Halfu unategemea tuseme "Swadakta, wewe ni Mtz halisi!". Lol!
 
Tatizo lako kuropoka ndiyo maana jamaa wamekutimua usingie kwenye mkutano wao. Angalia ndani ya dk 15 tu ushaleta urongo JF, sasa wangekuruhusu ukaingia si kila kitu ungeweka hadharani. Pongezi yao CDM
 
Hata lugha yako, inaonyesha dhahiri kwamba wewe si mmoja wao!.

Huwezi kusema Raisi wangu Nkurunziza ukimaaninsha raisi Magufuli wa Tanzania halafu ukiulizwa usema,kikubwa wote ni maraisi ila sikumaanisha raisi wa Burundi.

Halfu unategemea tuseme "Swadakta, wewe ni Mtz halisi!". Lol!
Naheshimu mawazo yako.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom