CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.
Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.
SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?