Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Siku hizi, mbowe amekua hamuamini lowasa kabisa kwa kuogopa kujijenga ndani ya cdm kwa kweli
Inaonekana manvi anakubalika sna kwa vijana wa cdm
 
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.

Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuziwiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.

Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.

SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Kweli hukuwa unafaa, kawarudishie ccm hela yao.Chadema nouma.
 
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.

Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.

Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.

SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?
Uzamiaji haufai mkuu!
kikao hakikuhusu icho
 
We sio mwanachama kwa hiyo nia yako uchongee au
 
Chadema hawana ngazi ya shina, hiyo ngazi ipo CCM na vyama vingine, ila kwa level hiyo chadema wana Msingi,

ngazi za uongozi ni Msingi, Tawi, Kata / Sheiha, Jimbo la uchaguzi, Wilaya, Mkoa, Kanda na Taifa..

Ngazi ya msingi, hawezi kwenda kuhudhuria kikao cha kata..labda kwa sababu maalumu na mwenyekiti Taifa anapoenda kwenye wilaya anaweza kuita baadhi tu ya viongozi wa wilaya, Kata na matawi. kutokana na agenda zake,

sio lazima awaite wanachama,

wewe mwanachama uliye ngazi ya msingi, hudhuria vikao vya ngazi yako na pelekeni mihutasari kwenye matawi,

na, au zaidi amasisha..tengeneza network itakayokuchagua kukufikisha ngazi ya wilaya ili akija tena akukute hapo, ila kwa namna hii hata hujui mfumo wa chama chako, una kazi sana
 
Ahsante kwa mawazo yako.
 
Sio siri tena. ni ukweli mchungu usiosemwa, mimi nimeamua kupasua jipu.
Mbowe kwa sasa hana jipya, hana sera, hana analoliweza tena. hana sera wala mipango mipya ya kukiuza chama kwa wananchi.

Baada ya kumuuzia Lowasa chama na kuua sera ya ufisadi kwa kuweka ma.v chumbani, sasa chama kinamfia na hana pumzi mpya ya kukirudisha chama kwenye mstari.

NAYAKUMBUKA MANENO YA DR SLAA WAKATI ANATANGAZA KUSTAAFU SIASA KUWA CHADEMA IMECHUKUA KINYESI IKAKIKOROGA NA KUKIWEKA UVUNGUNI
 
Duh!
 
kwahyo ndo umekuja huku tukuombee ruhusa uingie huko ndani au???hebu tuanzie apo kwanza
Sio ivyo Mkuu!! Kwamtindo huo chama hakiwezi songa, maana wanachojadili kinatekelezwa na Viongozi wa chini, abda tu liwe ni jambo ambalo halihusu chama.
 
Back
Top Bottom