Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Mbowe afanya Mkutano Mwanza kimyakimya

Na wewe unajiona kiongozi mpaka ulazimishe kuingia kikao cha viongozi, hujui hata protocols, nenda kwenye kahawa
 
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.

Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.

Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.

SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?

Ukiona hivyo ujue hata wewe uaminiki,inawezekena ni mmoja wa ng'ombe waliokatika mkia unasubiri kuama zizi.
 
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.

Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.

Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.

SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?

Kawaulize wana lumumba wenzako ndiyo hawana kazi za kufanya zaidi ya kuijadili Chadema.
 
Chadema hatuna shina,nenda Lumumba......ndo maana wamekuzuia. Nenda simiyu kuna mkutano wa hadhara wa ccm kimbia haraka.
Usigeuze Shina ndio mada ya kujadiliwa. Ngazi ya Msingi katika Uongozi haina tofauti za kiutendaji na Shina kwa wa CCM. Hivyo kwa lugha nyepesi ya kueleweka ukisema Shina hamna kilicho alibika.

Lengo ujumbe ufike, kwa nini kuna vikao vya siri? Na wakati huohuo maamuzi na mipango ya vikao hivyo yanaletwa ketu viongozi wa chini kwa ajili ya utekelezaji bila kushirikishana tangu kupanga mipango hiyo?
 
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.

Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku yangu iligonga mwamba baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Mkutano huo kwa kigezo sijulikani japo ni kiongozi wa Shina na nilionesha kadi yangu ya Uanachama.

Mpaka sasa ni dakika kumi na tano tu tangu Mkutano huu uanze.

SWALI NILIOJIULIZA:
1. Kwa nini Mkutano huu unausiri sana hata kwa wanachama (Viongozi wa chini) wa CHADEMA?

Shetani alivyokuumbua, afadhali upotee tu. Wamekukataa kwa sababu wewe siyo CHADEMA. CHADEMA WOTE WANAJUA NA HAWAHA SABABU YA KULALAMIKA HAPA. CHADEMA HAWANA VIONGOZI WA SHINA. BILA SHAKA WEWE NI CHAMA CHA MUMIANI.
 
Back
Top Bottom