phunter
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 540
- 264
Jinga lingine hiloSafi! Umeshaingiza siku tayari...
Jinga lingine hiloSafi! Umeshaingiza siku tayari...
Engine room =Chumba cha injiniEngineer ambaye aliingia kwenye engine room!
Umeona ehh!Hawa chadema na kiongozi wao ni wachekeshaji tu.
Hahahahah.......kwa jibu hili ilibidi nicheke! Ni kweli ukabila haufai. Lakini jirekebishe ndugu, unakoelekea haipendezi kama mwanaume. Mbowe hana mkono wala hatakuwa na mkono wake katika mafanikio au kushindwa kwako. Jaribu kutafakari malengo ya maisha yako nje Mbowe. Vinginevo utachanganyikiwa.Acha ukabila
Unachopaswa kujua ni kwamba huenda wengine humu wanakijua hicho kivuko. Hivi unadhani uokoaji unaofanyika ni wa kusubiri maiti zielee ama wanazamia maiti zilizotapakaa!Kivuko sio Meli
Asante kwa picha hii huenda atajifunza. Kama ungekuwa na picha inayoonyesha kwa upande ili umsaidie zaidi huyu kabla hajaharibikiwa zaidi.Hii ndo MV Nyerere kabla ya ajali, kwa akili yako mbovu unavyoona haina chumba hiyo?View attachment 875337
So what?Engineer ambaye aliingia kwenye engine room!
Dogo usijikweze wewe huna hata hadhi ya kuwa house boy wa Mbowe achilia mbali kukaa nae kwenye kikao chochote kile. Chadema pale hakuna anaekujua wewe ni nani labda mlinzi ndio anakufahamu. Nashangaa sana unapohangaika na mtu ambaye hata hakujui. Usilazimishe usupastaa dogo.Mbowe na Group of Boys lake sisi ndio tunamjua anawaza nini kwa malengo yapi.
Yani wewe Benson Mramba ni wa kuchapa viboko tu.Labda common sense itarudiCheo labda unatafuta wewe! Mimi nafanya kazi ya nchi. Cheo ni dhamana tu sijawahi kuhangaikia Cheo. Usinisemee
Pumbavu! Kazi ya nchi? Wewe ni nani? Narudia tena usitafute umaarufu kunuka we dogo!Cheo labda unatafuta wewe! Mimi nafanya kazi ya nchi. Cheo ni dhamana tu sijawahi kuhangaikia Cheo. Usinisemee
UPUUZI.Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;
Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.
Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.
Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.
Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.
Matukio= Agenda
Siyo kukijua tu, tunakitumia Mara kwa Mara. Mara ya mwisho kukitumia ilikuwa Jumanne na alhamis kikazama. Nimemwekea picha huyu mpuuzi aendelee tena maana anapata sapoti ya wapumbavu wenzie anajiona amefika.Unachopaswa kujua ni kwamba huenda wengine humu wanakijua hicho kivuko. Hivi unadhani uokoaji unaofanyika ni wa kusubiri maiti zielee ama wanazamia maiti zilizotapakaa!
Kwa taarifa yako, hivyo vivuko ni tofauti na vya kigamboni. Hivyo havibebi magari ili kuwe na uwazi kama unavyoota wewe. Wanaingia ndani kama kwenye meli. Sahemu ya wazi ni kwa ajili ya mizigo.
Jitahidi kurudisha hekima na busara kabla hujachelewa mkuu.
Wewe ndio hunijui sasa.Dogo usijikweze wewe huna hata hadhi ya kuwa house boy wa Mbowe achilia mbali kukaa nae kwenye kikao chochote kile. Chadema pale hakuna anaekujua wewe ni nani labda mlinzi ndio anakufahamu. Nashangaa sana unapohangaika na mtu ambaye hata hakujui. Usilazimishe usupastaa dogo.
Pambana na hali yako!
Mimi ndio Mimi Benson MrambaPumbavu! Kazi ya nchi? Wewe ni nani? Narudia tena usitafute umaarufu kunuka we dogo!
Hii hapa Mkuu.Asante kwa picha hii huenda atajifunza. Kama ungekuwa na picha inayoonyesha kwa upande ili umsaidie zaidi huyu kabla hajaharibikiwa zaidi.
Kujipendekeza kwetu kunafisha hadi dhamiri za nafsi zetu. Tunakuwa watu wa ajabu mno tusiojali hata maumivu na majonzi ya wengine.Siyo kukijua tu, tunakitumia Mara kwa Mara. Mara ya mwisho kukitumia ilikuwa Jumanne na alhamis kikazama. Nimemwekea picha huyu mpuuzi aendelee tena maana anapata sapoti ya wapumbavu wenzie anajiona amefika.