Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

KWA MTAZAMO WANGU:
wewe Mramba ndiye unaleta figisu za kisiasa ila Mbowe hawazi hivyo.
Wadau wengi wanalaumu hilo suala la kuahirisha zoezi kwenye issue serious kama ya uokoaji kwahiyo Mbowe amesaidia tu kuRaise maoni ya majority.
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Kwa kwel duh! Ngoja nikae bakabencha huku
 
Samahani mkuu!
Kwa hiki ulichokiandika leo umeamua kujivika upumbavu. Ushawahi kupanda kivuko kama hicho ukakuta hakuna vyumba?

Wewe ni mtu makini mno nikiongea kwa kurejea thread zako nyingi ambazo huwa ninzipitia. Ila kwa hapa umejaza ujinga.

Samahani kama nitakuudhi ila nimeshindwa kuzuia hisia zangu sababu ya ujinga na upumbavu uliouandika.

Jielimishe kwanza ndo uongee.
 
Ndugu Mramba unatia aibu kama siyo kinyaa yaaani.Hata kama ni kutafuta ka cheo kwa staili hii,ni kujizalilisha sana hata ukipata kacheo kenyewe sidhani kama utaenjoy kwa sababu unakuwa umetumia nguvu kubwa ya kudhaurisha utu wako,familia yako na hata elimu yako.Hata kama wamekupa kaidara ka kumshambulia Mbowe na timu yake jiongeze mkuu,unajivua nguo aisee.Jifunze kwa mpendazoe nae alikuwa mjinga hivi hivi na kacheo kakosa.
 
Wanaofanya siasa msibani wanatambulika.

Muda huu wapo msibani ukara ukerewe na masare yao ya mbogamboga.
 
KWA MTAZAMO WANGU:
wewe Mramba ndiye unaleta figisu za kisiasa ila Mbowe hawazi hivyo.
Wadau wengi wanalaumu hilo suala la kuahirisha zoezi kwenye issue serious kama ya uokoaji kwahiyo Mbowe amesaidia tu kuRaise maoni ya majority.
Mbowe na Group of Boys lake sisi ndio tunamjua anawaza nini kwa malengo yapi.
 
Samahani mkuu!
Kwa hiki ulichokiandika leo umeamua kujivika upumbavu. Ushawahi kupanda kivuko kama hicho ukakuta hakuna vyumba?

Wewe ni mtu makini mno nikiongea kwa kurejea thread zako nyingi ambazo huwa ninzipitia. Ila kwa hapa umejaza ujinga.

Samahani kama nitakuudhi ila nimeshindwa kuzuia hisia zangu sababu ya ujinga na upumbavu uliouandika.

Jielimishe kwanza ndo uongee.
Kivuko sio Meli
 
Ndugu Mramba unatia aibu kama siyo kinyaa yaaani.Hata kama ni kutafuta ka cheo kwa staili hii,ni kujizalilisha sana hata ukipata kacheo kenyewe sidhani kama utaenjoy kwa sababu unakuwa umetumia nguvu kubwa ya kudhaurisha utu wako,familia yako na hata elimu yako.Hata kama wamekupa kaidara ka kumshambulia Mbowe na timu yake jiongeze mkuu,unajivua nguo aisee.Jifunze kwa mpendazoe nae alikuwa mjinga hivi hivi na kacheo kakosa.
Cheo labda unatafuta wewe! Mimi nafanya kazi ya nchi. Cheo ni dhamana tu sijawahi kuhangaikia Cheo. Usinisemee
 
Kwa trend yako hii una tofauti gani aliyekuwa anti Kesy? Mrombo wa ajabu kabisa wewe! Unaaibisha wachaga wote.......hajawahi kutokea mchaga mmbeya na shosti isipokuwa wewe.
Acha ukabila
 
Tunashukuru tumemuokoa binadamu mwezetu baada ya saa 48. Bila shaka unaona umuhimu wa kuendelea na Nazi ya uokozi usiku kucha. Acha siasa ndugu ubinadamu kwanza
 
Msikilize polepole TBc alafu utyambie nani analeta siasa kwenye hili janga.
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Wewe ni Lipumbavu tu kama Mapumbavu mengine. Kama watu wote walimwagwa nje hao wanaoopolewa mpaka Leo wanatoka wapi? Mijitu mingine ovyo mpaka kero. Sisi tumefiwa wewe unaleta upumbavu sababu ya 7000 tu?
 
Back
Top Bottom