Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
 
Una taarifa kuwa kuna mtu amekutwa hai baada ya masaa 48...hio kwako inamaanisha nini?

Au labda nikuulize swali lingine..kwa sababu ni maiti kwa hio ziachwe tu zilale kwenye maji?

Ndugu yangu..sio lazima kila kitu kubisha kisa kasema mbowe...

Mbowe katika hili hakukosea hata kidogo
 
Kama utashindwa kujifunza kwenye matukio, ambayo yanajirudia hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni.

Kama umeshindwa kununua taa kwaajili ya kuokoa watu wako, na unaweza kufunga generator kwenye matukio ya mwenge hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni
 
Una taarifa kuwa kuna mtu amekutwa hai baada ya masaa 48...hio kwako inamaanisha nini?

Au labda nikuulize swali lingine..kwa sababu ni maiti kwa hio ziachwe tu zilale kwenye maji?

Ndugu yangu..sio lazima kila kitu kubisha kisa kasema mbowe...

Mbowe katika hili hakukosea hata kidogo
Engineer ambaye aliingia kwenye engine room!
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Mwanasiasa akibakia kimya atapotea.masikioni na vichwani mwa watu. Majukumu yao ni madogo.

Nadhani unakumbuka kauli ya Lema kipindi kile cha Kibiti na wale wauaji.
 
Huyu Mramba sijui kichwa chake kikoje! Akilala anamuota mbowe, akiwa anakula huwaza mbowe. Hivi wewe mramba huna vitu vingine vya kuandika zaidi ya kumuwaza mbowe tu? Mwanaume unatia aibu sana yaani.

Aluyekuambia huyu ni mwanaume kakudanganya, hiki ni kidemu fulani ambacho kikiwa kwenye deiz zake akili zinamruka. Ameshariwa na daktari apachikwe mimba yeye anakuwa mbishi.
 
Back
Top Bottom