yani wewe uDC ni ngumu sana kupataEngineer ambaye aliingia kwenye engine room!
Kabisa mkuu siyo kwa mimacho hiyo. Mtoto mashalah!!!!!![]()
Mhhh!! kwa sura hii na hayo macho Marinda hana huyu ndio maana kila siku anaandika ujinga humu.
Hapa ndio nimeona ujinga wako.Kwa andiko naona wewe ni mzaliwa wa dodoma kule kwa lusinde.Kwamba kivuko hakina vyumba .....jiulize tu kidogo kinachotenganisha mizigo na abilia nini? ile migahawa mle ndanisio vyumba?Kivuko sio Meli
haa haa kwa hiyo angeachwa ama...mkuu mbona hueleweki?Engineer ambaye aliingia kwenye engine room!
haa haa kwa hiyo ww muda wote unawaza mbowe...Mbowe nae na wewe mnamuwaza Magufuli tu
Sidhani kama Basil anaweza kuwa na undugu na kichwamaji kama huyo... sidhaniHivi una undugu na Basil Pesambili Mramba? Si uende ukaombe ajira kwenye ile hoteli yenu pale Sinza?
Nani alikudanganya huyo mama ni mwanaume? Mwanaume mwenye tabia ya kufuatilia mwanaume mwenzie huwa anaitwaje?Huyu Mramba sijui kichwa chake kikoje! Akilala anamuota mbowe, akiwa anakula huwaza mbowe. Hivi wewe mramba huna vitu vingine vya kuandika zaidi ya kumuwaza mbowe tu? Mwanaume unatia aibu sana yaani.
Safi! Umeshaingiza siku tayari...
Mkuu usijihangaishe na hawa watu mufilisi. Wakati wao wanafanya Siasa za Matukio wenzao CCM wanafanya Siasa za Maendeleo. Faida ya Siasa za Maendeleo, siku zote huwa ni endelevu kwasababu leo hii kila ukipita kwenye flyover ya Tazara, ukipanda Dreamliner, SGR n.k. utakumbuka tu kwamba mambo haya yamefanywa na Serikali ya CCM.Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;
Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.
Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.
Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.
Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.
Matukio= Agenda
Anawashwa hatari anamuota Mbowe tu.Mramba umelamba nini
Duuh baado tuu una mapenzi ya hatari na mume wa mtu Mbowe !!?? Ujapata mwingine !!!Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;
Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.
Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.
Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.
Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.
Matukio= Agenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi una undugu na Basil Pesambili Mramba? Si uende ukaombe ajira kwenye ile hoteli yenu pale Sinza?
Punguza hasira tatizo lenu mnadhani hii nchi ni yenu watu wengine wasisemeNimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;