Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

Mleta mada acha kuwashwa washwa, inamaana hii serikali haina namna ya uokozi usiku? kwa hiyo hela za madege, magenerator ya kwenye mwenge yapo pesa za uchaguzi feki zipo lakini za kununulia taa za uokozi hakuna hivi hii nchi imevamiwa na FALL ARMY WORM au mbona sielewi halafu yaonekana umemmisi mbowe sasa ngoja nikamuombe anikaimishe hiyo nafasi huenda umeota kutu nakuja na msasa
 
Just call them play boys.Wale hamna kitu ni magarasa tu.Namlinganisha Mbowe na 'toto finyu'

QUOTE="Benson Mramba, post: 28488887, member: 179515"]Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda[/QUOTE]
 
Ukishambiwa ukweli unakimbilia Ohoooo wanapewa hela kusema ukweli, kaingiza hela, Je wewe unalipwa kiasi gani kutetea kauli za kupotosha za Huyo Mbowe aliyefeli mtihani na kupata Division 0 ????
Usinilishe maneno. Haya umesema wewe sio mimi.
 
Kama utashindwa kujifunza kwenye matukio, ambayo yanajirudia hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni.

Kama umeshindwa kununua taa kwaajili ya kuokoa watu wako, na unaweza kufunga generator kwenye matukio ya mwenge hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni
CCM ni janga jingine baya sana.
 
Dogo usijikweze wewe huna hata hadhi ya kuwa house boy wa Mbowe achilia mbali kukaa nae kwenye kikao chochote kile. Chadema pale hakuna anaekujua wewe ni nani labda mlinzi ndio anakufahamu. Nashangaa sana unapohangaika na mtu ambaye hata hakujui. Usilazimishe usupastaa dogo.
Pambana na hali yako!
Umempa jibu la busara sana mpumbavu huyu,anataka watu tuchukie kutumia jamii forum kwa sababu ya kukutana na matapishi ya staili yake.nimekupa like mkuu.
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Punguza upumbavu wa kutafuta kikk kupitia kwa Mbowe. Eti baada ya kufika jion walibaki wafu"Umesau kwa kuwa wewe msaka uji kuwa kuna mtu amepatikana hai baada ya masaa 48!!jinga ww
 
179515.jpg

Mhhh!! kwa sura hii na hayo macho Marinda hana huyu ndio maana kila siku anaandika ujinga humu.
 
Huyu naye sijui alitelekezwaga na Mbowe, Kila siku Mbowee Mboweee!. Sasa na yule aliyeokolewa kesho yake unasemaje? mbona amekutwa mzima. Unasemaje sasa hapo wewe unayejiita una akili nyingi?
Mtoa mada kavuliwa pichu sijui itakua aina gani Kama sio ilofanana na msanii wetu nandi
 
Kwa hyo ww unataka kusema baada ya kusitisha kuwaopoa saa moja walienda kuopoa wale wa mbali?
 
Mhhh!! kwa sura hii na hayo macho Marinda hana huyu ndio maana kila siku anaandika ujinga humu.
Yan wewe ni hasara kabisa. Bora ungezama kwenye kivuko ndugu zako wangekula laki tano angalau zingewasaidia kuliko jinga,wewe lisilo na faida kwa jamii.
 
Back
Top Bottom