Mbowe acha siasa za Matukio. Kivuko hakina vyumba.

Una hasira na mbowe yani ungekuwa mwanamke wewe ungekuwa ushaolewa ndoa ya tano na miaka yako 32.Huna hoja sijaaahi ona hoja zako zaidi ya kumpinga mbowe.Au mbowe aliku........
 
Kujipendekeza kwetu kunafisha hadi dhamiri za nafsi zetu. Tunakuwa watu wa ajabu mno tusiojali hata maumivu na majonzi ya wengine.

Mungu atuhurumie
Asante mkuu, wengine tuko katikati ya majonzi.
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Naweza kukutukana nikaonekana mbaya. Unasema kivuko hakina vyumba? Niulize mimi mzawa wa UKARA na ambaye ferry hii ilikuwa ndio usafiri wangu wa kila siku ama kutoka UKARA kwenda kwingineko au kuja UKARA. Eti kivuko hakina vyumba. Kichwa chako kina makaratasi na acha kiki za kisiasa
 
We nawe ni mwendawazimu. Yule aliyeokolewa jana sio mtu. Pumbaaaaaaaavu
 
Engineer ambaye aliingia kwenye engine room!
Engine room, kiswahili chake ni nini? Inaonekana huna ufahamu juu ya boat au ferry. Mie niliyewahi kusafiri na kivuko hicho nakuhakikishia kuwa kuna vyumba. Na hutumika mara nyingi kwa ajili ya manahoa na watumishi kupumzikia. Na kwa taarifa yako, hata huko kwenye chumba cha engine, usifikiri ni kijichumba kidogo, ni eneo kubwa na lenye nafasi kulingana na ukubwa wa kivuko chenyewe. Hivyo, wacha kupotosha. Mbowe alikuwa sahihi. Nd ndo maana hata mchana huu, wazamiaji wameopoa mwili mwingine wa mwanamke na kufanya idadi ya maiti wa kike kuongezeka.
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda

MKUU KAMA NI KWELI UNAYOYASEMA UNA HABARI KWAMBA FUNDI WA FERRY AMEOKOLEWA HAI ZAIDI YA MASAA 48 YA TUKIO? KAMA FUNDI KAPATIKANA SIKU YA TATU YA TUKIO VIPI MASAA 5 BAADA YA TUKIO? CHUKI DHIDI YA MBOWE ZISIKUFANYE UKADHIHAKI NDG ZETU WALIOPOTEZA WENGINE ZAIDI YA WATU 3.
 
Nimesoma post yako mwanzo mwisho sijaelewa hata kidogo ,
Ngoja nivae miwani labda nitaona point
 
We unashangaa hawa nyumbu kufanya siasa misibani? Hiyo mbona ndio style yao, ktk misiba yao ni msiba wa baba yake Prof.J tu ndio sikusikia wakipiga siasa. Hiv hukusikia Sugu alivyodai mama yake kafa kwa pressure aliyopata baada ya kufungwa jela? Ndio tabia zao
 
Nimesikiliza clip ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa chadema freeman mbowe akipotosha kuhusu swala la kuahirishwa shughuli za uokozi kwasababu ya giza. Ukweli tofauti na Mbowe anavyotaka tuamini ni kuwa;

Kivuko kimezama saa nane mchana. Shughuli za uokozi zimesitishwa saa
1 usiku. Kivuko hakina ndani (Vyumba) maana yake baada ya ajali watu wote walimwagwa kwenye maji. Na kama anavyosema Mbowe kivuko hakikuzama mbali na pwani maana yake tangu saa 8 mpaka saa 1usiku walio hai walishaokolewa ilibaki kazi ya kuopoa miili.

Kwa kawaida miili huwa inaelea yenyewe baada ya muda either pale pale eneo la ajali au mbali zaidi. Kuahirisha shughuli ni ili kuopoa maiti zilizoenda mbali katikati ya ziwa.

Mbowe aache siasa za matukio. Mnyika alishatoa salamu za rambirambi hakukuwa na sababu ya mwenyekiti kuja kutafuta kiki tena.

Tatizo la Mbowe na vijana wake John Mrema, Reginald Munisi, Godbless Lema, Msigwa, Sugu n.k ni Group of Boys (Tundu Lissu observation) na ni akili ndogo.

Matukio= Agenda
Wacha kufikiri kwa kutumia makalio arifu.
 
Kama utashindwa kujifunza kwenye matukio, ambayo yanajirudia hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni.

Kama umeshindwa kununua taa kwaajili ya kuokoa watu wako, na unaweza kufunga generator kwenye matukio ya mwenge hakika wewe na chama chako mnatupeleka shimoni
Akili ndogo ni ile inayoweza kuongozwa na Mbowe aliyepata sifuri kwenye kuhitimu shule, hadi leo hana taaluma yeyote zaidi ya UDJ
 
Back
Top Bottom