Mboni show ina boa

Wakuu,nilikuwa sijawahi kuangalia kipindi cha mboni show tangu kianzishwe,leo nilikutana na mada kwenye JF inasema ni kipindi ch KI freemson,honestly sikuisoma hiyo post,lakini muda sio mrefu nimewasha TV na kukuta kipindi icho nikakumbuka hiyo post nikaamua niangali hicho kipindi kinahusu nini,kulikuwa na bwana mmoja anazungumzia maisha ya ulaya yalivyo nilikuta anamalizia,then akaja jamaa mmoja ambaye yeye alikuwa Marekani na alirudishwa toka huko kwa ajili ya kesi,huyo bwana alikuwa na story nzuri sana lakini kila akiongea sentensi mbili na nikawa navutika kumuangalia mara mboni anamkatisha mara kwa mara kuwa muda hautoshi na mara Mboni anaaanza kuongea yeye kwa kirefu jinsi gani muda ambavyo hautoshi na kumuambia aongee kwa kifui akianza kuongea tena anamkatisha katisha kiasi cha watu kushindwa ku-grasp story ya huyo jamaa aliyekuwa marekani mabaye yaelekeaalikuwa na story nzuri sana kuhusu marekani.My take Mboni ajielimishe zaidi namna ya kuongoza vipindi.

hata mimi niliangalia...kifupi aliboa sana. The guy alikuwa na story nzuri n interesting kuliko wenzake. But kidogo tuu anamkatisha akidai muda ndo problem. Sijui kwa nini mboni nae hakuona hilo mapema akampa muda mwingi zaidi kuliko wenzake!
Kifupi aliboa sana.
 
Back
Top Bottom