Mbona yahoo email yangu wananiita Christa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona yahoo email yangu wananiita Christa!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tripo9, Jun 7, 2010.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  [​IMG]

  Hello Christa!


  No unread emails in your Inbox Inbox (0)


  Hiyo hapo juu ni snapshot ya page yangu ya juu kabisa ninapo-sign in Yahoo!
  Cha kushangaza mimi siitwi Christa! Mimi ni kidume kwanza!
  Wajuvi wa mambo haya ya mtandao hebu nitoeni matongo ktk hili....Au kuna mwehu kafanikiwa kuingilia account yangu kinyemela!


   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, yahoo hawawezi kukuita jina ambalo ukujirejista nalo, inawezekana wakati wakujiandikisha ulitumia hilo jina kama first name o last....Pia inawezekana kuna mtu ameingilia e-mail yako aka edit na kuweka ilo jina... chakufanya ingia kwenye A/C yako badilisha password na weka jina unalotaka.
   
 3. W

  Wanzuki Senior Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole sana Tripo9; yamewakuta wengi kama ya kwako lakini wewe naona una bahati sana, hao wahuni hawakubadili password yako!
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  badilisha password haraka ukimbie.....!
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  WAPOPO WAShAINGIA HUMO, BADILI USER YAKO NA PASSWORD YAKO TENA, USIKUBALI HATA SIKU MOJA KUKUTANA NA RAFIKI KWENYE (HASA WATU WA WEST AFRICA) MITANDAO NA KUANZA KUKULAZIMISHA UMPE EMAIL YAKO, ILI AKUTUMIE PICHA
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yeah wanatumia mbinu hiyo ku-hack pw
   
Loading...