Nimefanikiwa kuingia (ku-sign in) kwenye E-mail yangu ya Yahoo

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,207
Niliwahi kuleta thread juu ya msaada wa ku-sign in kwenye Email, japo sikufanikiwa kupata msaada wakutosha.

Nafuraha kuwajulisha ya kwamba, nimefanikiwa ku-sign in kwenye Email yangu ya Yahoo kwa kutumia computer & simu.

Nimefanikiwa baada ya kuhamishia kwa server walioko India, ndipo nikaweza kuingia kwa kutumia computer, baadaye sana, nikaingia kwa kutumia computer kwa kupitia Facebook, kisha nikafanya settings kadhaa kwenye profile k.m kubadili p'word, securuty qn, kuongeza namba za simu, kufungua sign-in seal mail n.k.
Kisha mambo yakawa sawa kabisaaa...
Wale wote tuliokuwa tunapata changamoto mnaweza kutumia njia iliyotumia.
 
Tembelea Yahoo kwa kutumia computer (laptop), kisha sign in, sign in kupitia Faceboo au Google+ kama unayo.
Kisha utapata maelekezo juu ya kuboresha ulinzi wa Email yako, jaribu kufanya/ kubadili settings kadiri uwezavyo; kama p'word, security qn, location, add mobile phone mumber, create sign in seal mail n.k
Inaweza ikasumbua au kuchukua muda kidogo ila usikate tamaa..
 
Nawashaur kufungua gmail coz hainaga matata,bt yahoo inazngua sna leo utasign in kesho itakugomea.hotmail na ymail nazo vivyo hvyo.
 
Back
Top Bottom