Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,584
- 171,419
Ndoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......mbona wewe kigeugeu
Ndoa ni mkopo wa OYA
Ndoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......mbona wewe kigeugeu
Naona ndoa zilikuwa zamani.Kijana kataa ndoa, ndoa ni forex trade.....
Nimekupenda aiseee.Ndoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......
Ndoa ni mkopo wa OYA
mbona kama falsafa ......fafanua tena kidoogo japo anayefaidi ni mwanamke na mwanaume hana maana.Unapozungumzia Mahusiano /Ndoa familia haya mambo kwa mwanamke yanachukua 70% kama sio 80%
Mwanamke ndoa inamjenga ,inampa utambulisho (identity) na pia inampa prestige hasa anapokuwa na watoto ambao wanamuita mama .
Mwanamke kukushauri kuoa au kupata mtoto anakuwa yupo sahihi kabisa .
Neno "mke wa MTU " lina uzito mkubwa kuliko "mme wa MTU "
So ikiwa utapata kutafakari hayo mambo unaweza kuelewa kwa kina.
Ndoa ni ajira ya kudumu kwa mwanamke. Endapo mwanamke maisha yakimpiga knock out basi ndoa inaweza kuwa kimbilio lake. 100% 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐡𝐮𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐧𝐲𝐚𝐧𝐲𝐚𝐬𝐚.Kwanini wanawake wanaunga zaidi mkono ndoa ukilinganisha na wanaume
1. Ndoa inalinda zaidi masilahi ya mwanamke. Wajibu wa mwanaume unatambulika kisheria na anashurutishwa kuutimiza tofauti na wajibu wa mwanamke ambapo ni hiyari ya mwanamke kutimiza, vile vile ndoa inapovunjika mwanamke analipwa fidia ya muda aliotumia katika ndoa lakini mwanaume halipwi fidia ya muda wake kwenye ndoa iyo iyo.
2. Ndoa ni ajira ya kudumu kwa mwanamke. Endapo mwanamke maisha yakimpiga knock out basi ndoa inaweza kuwa kimbilio lake.
3. Ubora wa mwanamke haudumu kwa muda mrefu. Mwanamke anakua kwenye kilele chake cha ubora kuanzia anapovunja ungo mpaka late 20s, anapoingia 30s ubora wake kuanzia uzuri mpaka uwezo wa kuzaa unaingia kwenye declining stage, kwaiyo ni lazima akukuluke amalizane na mambo yote hapo kwenye 20s.
4. Njia ya mkato kufanikiwa kimaisha. Kwa sasa wanawake walio wengi duniani kote wamegeuza talaka, child support na mirathi ya mume kuwa miradi ya kibiashara. Mwanamke akiitimua ndoa kimkakati inaweza kumpa utajiri.
naamini na kuhisi tunaitaji zaidi wanawake ambao ndoa kwao is not about identity au wenye kufikiria kuwa nikiwa 'mke wa mtu' ndiyo nakuwa na heshima kwenye jamii;Unapozungumzia Mahusiano /Ndoa familia haya mambo kwa mwanamke yanachukua 70% kama sio 80%
Mwanamke ndoa inamjenga ,inampa utambulisho (identity) na pia inampa prestige hasa anapokuwa na watoto ambao wanamuita mama .
Mwanamke kukushauri kuoa au kupata mtoto anakuwa yupo sahihi kabisa .
Neno "mke wa MTU " lina uzito mkubwa kuliko "mme wa MTU "
So ikiwa utapata kutafakari hayo mambo unaweza kuelewa kwa kina.
𝐚𝐢𝐬𝐞 𝐡𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐞𝐤𝐢 du wewe ndiye mwanamke kweliNdoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......
Ndoa ni mkopo wa OYA
hapa ndiyo panapo tuumiza yaani ni kama tunafanya vitu kwa kuhofia watu watanionaje;Unaheshimika bwana ukiwa umeoa, unaacha kuonekana muhuni. Unaonekana unajua wajibu. Huulizi kwanini kuna nafasi huwezi kupata kama hujaoa?
Wewe jamaa unajua sana.Unapozungumzia Mahusiano /Ndoa familia haya mambo kwa mwanamke yanachukua 70% kama sio 80%
Mwanamke ndoa inamjenga ,inampa utambulisho (identity) na pia inampa prestige hasa anapokuwa na watoto ambao wanamuita mama .
Mwanamke kukushauri kuoa au kupata mtoto anakuwa yupo sahihi kabisa .
Neno "mke wa MTU " lina uzito mkubwa kuliko "mme wa MTU "
So ikiwa utapata kutafakari hayo mambo unaweza kuelewa kwa kina.
naNdoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......
Ndoa ni mkopo wa OYA
Unataka kusemaje hapo kwenye OYA na ndoa?. Mi jibu ninalo ila naomba ujibu kwa faida ya wengine.Ndoa ni chuma ulete, mke ni kausha damu kataa ndoa......
Ndoa ni mkopo wa OYA
Sio kwamba unaonekanaje, wapo watu ambao hawajaoa na haina shidahapa ndiyo panapo tuumiza yaani ni kama tunafanya vitu kwa kuhofia watu watanionaje;
Oa lakini ndoa isiwe kitu cha kufanya kisa tu ooh! ntaonekana muhuni, nisipo oa ntaonekana sijui wajibu wangu;
Dunia ishajaa aiseeNdoa na iheshimiwe na watu wote, vijana tuoe tuijaze dunia....kama maandiko yalivotuagiza. Amen
Watu hapa hawasemi, ila bila wake zao wasingekuwa walipo
Hee, sijaona watu wamealikwa kwenye shughuli muhimu sababu wameoa. Wanaonekana muhimu sababu wana hela, wana vyeo na wana umaarufu.Unaheshimika bwana ukiwa umeoa, unaacha kuonekana muhuni. Unaonekana unajua wajibu. Huulizi kwanini kuna nafasi huwezi kupata kama hujaoa?