Mbona tunauwa lugha yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona tunauwa lugha yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by kazuramimba, Aug 17, 2011.

 1. k

  kazuramimba Senior Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kiukweli haya maneno yana nichanganya tuna ambiwa kuwa kwa mjina ya kiafrica **** AU **** ndio neno sahihi lakini ukitamka mbele za watu unaambia umetukana.Pia kuna neno kama KUTOMBA ni lafudhi za kiafrika lakini leo hii yanaonekana ni tusi nashindwa elewa neno kama TIGO Nalo siku hizi halitamkwi hadharani kwa kweli tuna uwa lugha yetu.
   
 2. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Duhu!!
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwanini unataka kutamka mbele za watu..
  .....
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  pombe si chai...
  tunaua au tunauwa?
   
 5. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hilo swali zuri sana. Kama inamlazimu kutamka aweza sema "ashakum si matusi...." akatamka maneno yake...!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ongeza masaburi.
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kiswahili ni Lugha ya watu wastaarabu na ni lugha yenye heshima yake. Na ndio maana mara zote huwa tunatumia tamathali za semi, mafumbo (Figures of speech) na tasifida pale tunapotaka kutamka maneno kama hayo, ambayo mbele ya jamii yetu na haswa mbele za watu. Hii ni sawa na kuvisha nguo maneno makali yatumikayo kwa lengo la kulinda maadili ya jamii.

  Kwa mfano:

  Anakwenda haja kubwa badala ya ana-kunya.

  Uume, Jongoo (Jongoo wake hapandi mtungi) au Jogoo (Jogoo wake hawiki).
  Pia huwa tunatumia maneno kama vile: Unyumba, kufanya mapenzi na kwa wale ambao hawajafikia umri fulani, huwa tunawaaambia ni kufanya matusi.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  x-paster, thanks. nilidhani ni tafsida na sio tasifida?
  mtoa mada, katika lugha yoyote ile,kuna maneno ya kutumia na watu mbalimbali. ni kama kidhungu, kuna sex,making love na f*%king. kidhungu nadhani inaitwa 'dirty language'. na kwa heshima yake, utupu wa mwanamke unaitwa 'uke'
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  hiki ni Kisukuma?
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wataalam wa lugha ya Kiswahili wanasisitiza neno TASIFIDA au USAFIDI likimaanisha neno ili la Kiingereza euphemism. Na si TAFSIDA.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  oh,asante kwa kunijuza. kwa kweli nikiri kuwa kiswahili changu chembamba sana, nimekuwa mtumwa wa lugha.
   
 12. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Uko sawa. Hilo neno pia Malaria Sugu anapenda sana kulitumia!
   
Loading...