Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Lazima au?
 
Una miaka mingapi??, Usije kuwa na Umri wa Mama yangu mzazi bure?.
 
Back
Top Bottom