Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Pole sana.
 
Uyu dada akijichanganya na kizazi hiki Cha rikiboy ataliwa kimasihara mpaka achake.

Vinginevyo awe na maji maji ya kutosha[emoji4]
Hahahahahah watoto wengi wa kike this time around wako 30’s wana desperate ya abuja! Wanataman kuolewa kichizi wanasumbuliwa na wazazi wao wazae 😅😅😅
 
Back
Top Bottom