Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Ya wazazi na jamii yaliniponza mwenzio nikaangaika mwisho wa siku nikawatimizia yapivyonishinda nikasepa.Tafadhali jikaze nenda taratibu kule unakokimbilia hakuna jipya ukiharakia utapata ndoa yenye mateso.Please tulia ili umpate utakayempenda,na ukimpenda mtu usisite kumwambia dunia utandawaz sasa
Nakusalimia
 
Natafuta mke sema sitaki mamboya kupangiana ratiba kwenye mbususu kiongozi.Wako mtiifu Bata Mkuu🥲
 
Eeh kwani kina Aunt Ezekiel kiko wapi leo? Walidanga sana ila inafikia umri flani wanakuja kusanuka yale sio maisha. Kuna mapungufu makubwa wako nayo!

Akicheki kashagonga 34 halafu hana mtu wa kueleweka. Hana mwanaume ambaye atamuita mumewe 😅 wenzake marika yake wote washaolewa usichana ushaanza kumtupa mkono hapo ndipo wanapojibidiisha kuzaa na wale walioko available hakuna room ya kuchagua chagua tena.
Hii comment kina dada wameipita kimya kimya.

Hatari sana bob
 
Tatizo nyie mnataka kuolewa na masherehe makubwa ili ujidai kwa mashosti wakat mfukoni Hali ni tete,,
 
Wakati ni ukuta 😅 ringeni mkifika 37 mtakubali kuzaa na kulea kwa gharama zenu wenyewe😅
Mbona 37 mbali sana huko....hapa nimekalia ofa mbili za warembo wa miaka 28 and 31 wanaomba niwape mbegu watalea wenyewe hao watoto. Ni vile tuu mie sitaki kukabana mashati baadae. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa warembo
 
Back
Top Bottom