Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Hahahahahah watoto wengi wa kike this time around wako 30’s wana desperate ya abuja! Wanataman kuolewa kichizi wanasumbuliwa na wazazi wao wazae [emoji28][emoji28][emoji28]
Alianzisha huu utaratibu wa before 30 wameolewa kaleta janga Kubwa KWENYE jamii yetu

Maana kizazi cha vijana wengi wakiume kwa Sasa, wakifikisha 30 ndo Kwanza wanakua wanaanza maisha.

Tofaut na miaka ya zamani
 
Alianzisha huu utaratibu wa before 30 wameolewa kaleta janga Kubwa KWENYE jamii yetu

Maana kizazi Cha vijana wengi wakiume kwa Sasa, wakifikisha 30 ndo Kwanza wanakua wanaanza maisha.

Tofaut na miaka ya zamani
Mungu arehemu washushe hadi 25 haha tuchakate sana
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Wewe si ndiye yule unayesema mwanaume hatakaa akuguse mpaka mfunge ndoa?
 
Mm nahitaji nikuonje kidogo tu wala sio sana
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Alafu ukute huna hela na tako huna alafu unataka mume[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Inaonekana na muoaji atalipwa kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kazi ipo kubwa
 
Back
Top Bottom