Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

[emoji1][emoji1][emoji1] watazaa na Mario
Eeh kwani kina Aunt Ezekiel kiko wapi leo? Walidanga sana ila inafikia umri flani wanakuja kusanuka yale sio maisha. Kuna mapungufu makubwa wako nayo!

Akicheki kashagonga 34 halafu hana mtu wa kueleweka. Hana mwanaume ambaye atamuita mumewe 😅 wenzake marika yake wote washaolewa usichana ushaanza kumtupa mkono hapo ndipo wanapojibidiisha kuzaa na wale walioko available hakuna room ya kuchagua chagua tena.
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Usitutisheeee
 
Alianzisha huu utaratibu wa before 30 wameolewa kaleta janga Kubwa KWENYE jamii yetu

Maana kizazi Cha vijana wengi wakiume kwa Sasa, wakifikisha 30 ndo Kwanza wanakua wanaanza maisha.

Tofaut na miaka ya zamani
Imeanzisha nature yenyewe, SMV kwa wanawake at 27 mwisho, beyond 27 inabidi uwe hottie kweli, sasa mbaya zaidi Men are desperate for young & hot chicks.
 
Nakucheki tu
Extrovert mwenywe sasa[emoji4][emoji116]
IMG_20211206_101521.jpg
 
Back
Top Bottom