Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Kuku Mkuu

New Member
Joined
Jan 7, 2022
Posts
4
Reaction score
50
Mmejificha wapi wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa, sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa ohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Nenda Kashitaki kwa Rais kwamba wanaume hawataki kuwaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Dah thread Tayari 😂😂😂😂
Joined Yesterday Mnasumbua sana... Duuh nani akuoe Kati username ya Mapimpili na watengwa...
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Jaribu mtaani kwako kwanza ndugu
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Mbona hujaweka sifa zako kama umri, dini, mahali ulipo, nk?
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]

Hahahaha kwamba chamuhimu awe anapumua tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom