Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,748
Ninae mmoja ana 31 nae anahitaji huduma hio hio japo hajaja direct 😅 Ila nimejiongeza tayari namfariji tu ila maswala ya kupelekana ustawi sihitaji!Mbona 37 mbali sana huko....hapa nimekalia ofa mbili za warembo wa miaka 28 and 31 wanaomba niwape mbegu watalea wenyewe hao watoto. Ni vile tuu mie sitaki kukabana mashati baadae. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa warembo

