Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kuku kama Kuku kila lakheri Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Huwa natamani sana kukuuliza ila naogopaga. Wewe tayari?
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
emoji2099.png
Hahahaaa. Lol.

Zamani sana rafiki.
 
kwani wanaume wanaohitaji kuoa kweli hawapo? me naonaga masihara tu
Kuna uwezekano mkubwa Wataishia kuzalishwa nyumbani kwao bila Kutolewa mahari, kufanyiwa harusi na kuwekwa ndani Kama mke, siwaombei hivyo, ila nkiangalia aina ya wanaume tuliopo hapa kijijini, 95% ya wanaume vijana ni hopeless kabisa, watafuna mirungi, kula kulala kwa wazazi, walevi na wavuta bangi, washinda vijiweni to yeye kinywanyuku
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni
Huu ujumbe uliandikwa saa 5 na dk 14 usiku. Ulikuwa tu upo kwa siku zako nzuri, ukamiss haja za mwili wako, ukahisi umemiss ndoa. Damu yenuewe ilikuwa ishahama kichwani imehamia maeneo mengine ili kupisha ubongo uruhusu kusinzia.
 
Kuna uwezekano mkubwa Wataishia kuzalishwa nyumbani kwao bila Kutolewa mahari, kufanyiwa harusi na kuwekwa ndani Kama mke, siwaombei hivyo, ila nkiangalia aina ya wanaume tuliopo hapa kijijini, 95% ya wanaume vijana ni hopeless kabisa, watafuna mirungi, kula kulala kwa wazazi, walevi na wavuta bangi, washinda vijiweni to yeye kinywanyuku
Ndo bas tena
 
Kama wanaume wenzetu wa huko mtaani kwenu hawakutaki sisi ndo tujichanganye kwa kurumbembe tuchekwe
 
Back
Top Bottom