Mbona siwaoni waoaji mwe!

Mbona siwaoni waoaji mwe!

Kwa maneno hayo kweli utazeekea kwenye nyumba za kupanga Wala siyo nyumbani!
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Una umri gani mkuu?
Maana kama bado upo nyumbani na geti limeandikwa *hapa mbwa mkali"
Maana yake upo under 20.

Ukishaanza kuona geti linafutwa na kuandikwa" ice cream zipo hapa".

Hapo sasa taa nyekundu zimeshaanza kuwaka may be 30 umri..
Mzee anaona binti watazeekea home.[emoji2][emoji2][emoji2]..
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
ukiona huolewi, owa wewe.
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Shake befoure use inaruhusiwa???
 
Noma sana !
Mleta uzi achangiii mada yske
Wadada siku izi mnaringa sana ndo maana mnadanganywa nakina dula,rich etc
KIFUPI HATUOI
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]

Miaka 18 - 20 - Bado Sana wala sitaki kusemeshwa.

Miaka 21 - 25 - Huuwezi huu mzigo wa gharama.

Miaka 26 - 30 - Mbona sisemeshwi Jaman, waowaji mpo Wapi.

Miaka 30 - 35 - Bora Kuwa single Mother, ndoa Ngumu.

Miaka 36 - Hitimisho - Kazaa Na Boda Boda!
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
Ushauri mzuri huu ndagha nkamu,uli na mahala.

Mtu anaolewa kwa presha ya wazazi,mwisho wa siku ni majuto.
Ni heri kutulia,mtu sahihi atakuja tu wakati ukifika.
Omwe obhukabhila ugho nyerere ikukalala mweee!
 
Miaka 18 - 20 - Bado Sana wala sitaki kusemeshwa.

Miaka 21 - 25 - Huuwezi huu mzigo wa gharama.

Miaka 26 - 30 - Mbona sisemeshwi Jaman, waowaji mpo Wapi.

Miaka 30 - 35 - Bora Kuwa single Mother, ndoa Ngumu.

Miaka 36 - Hitimisho - Kazaa Na Boda Boda!
Msiwakatishe tamaa dada zetu jemeni, washaurini kwa upendo [emoji4]
 
Miaka 18 - 20 - Bado Sana wala sitaki kusemeshwa.

Miaka 21 - 25 - Huuwezi huu mzigo wa gharama.

Miaka 26 - 30 - Mbona sisemeshwi Jaman, waowaji mpo Wapi.

Miaka 30 - 35 - Bora Kuwa single Mother, ndoa Ngumu.

Miaka 36 - Hitimisho - Kazaa Na Boda Boda!
Aiseee..halafu ukute k imesuguliwa hadi imeota sugu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Huu uzi wa kibabe unaogopesha waoaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Kigezo mradi ANAPUMUA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kipindi mpo wabichi mlituwekea kibao cha HAKUNA NAFASI ila mlipocheza rafu ujanani mkatemwa muda ukazidi ktsonga ndo mnatuweke kibao NAFASI IPO hahahaaa jioni wenyewe.
 
Mmejificha waaaaapiiii wajameni, mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma

Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi. Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1] Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Njoo bobo
 
Sema ilo jina la kuku mkuu nalo linaogopesha sana.
 
Back
Top Bottom